Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

Mwingine huyu hapo anaangalia wakisaini na hakuna mwanasheria wa serikali wa kumshauri.
 
Attachments

  • 7DBF8900-F3C6-470F-B4B8-D9D144568DEC.jpeg
    81.5 KB · Views: 5
Unayetafuta kiki ni wewe, au yule mjinga mwenzako aliyemtisha Dr. Slaa.

Demu wa Dr. Slaa wa nini? au unataka ile nafasi? kumbe bibi bado una nguvu!.
Nimemuuluza kwa sababu mleta mada jataja safari ya telaviv, kautana na Rostam. Slaa na Mshumbusi walikwenda huko "kuhiji". Nimeunganisha dots, mlera mada ni Slaa mwenau Mashumbusi.

Haihitaji uwe rocket science kuliona hilo.
 
Slaa na Rostam wote hao ni ma spy wa CCM.

Rostam kazi yake ni kusimamia miradi mikubwa yite ya CCM, Slaa kwa tamaa zake, anabwabqaja nankuhororoja na yeye apewe miradi mikubwa.

Alishapewa dili la CCBRT sijuwi limebuna huko au walimnyang'anya walipompa ubalozi sasa anatafuta huruma.

Nyie hamjuwi kuwa Slaa ni comrade wa CCM? Pia...

Nyie hamjuwi kuwa Rostam ni comrade wa CCM?

Hao wote wawili Boss wao. Ni Kinana. Hawafanyi chochote bila Kinana kutaka na wakijisahau anawaweka sawa.

CCM na serikali ya Tanzania ni aidi ya mnavyoijuwa vijana.
 
Kwa Dr. Slaa kumuita huyo comedian mjinga fulani, amegonga kwenye kichwa chenyewe.
Mungu amuongezee Dr. Slaa hekima na uwezo zaidi na zaidi. Ameen
 
Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.

Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvunja mkono bado anae? mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
Twende kwenye hoja ya DP world na uuzwaji kwa waarabu.
 
Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.

Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvunja mkono bado anae? mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
Zamani nilijuaga Waarabu woote ni waisalam hivyo niliamini hawana Dhulma mpaka nilopoona hawa wanaokuja kudhulum Bandari yetu.
 
Si public figure, na mbona mpaka picha zke za kuumizwa mkono zilikuwepo, akavunga kadondoka badu.

Hata hapa JF alikuwa anaingia tunampa zake. Hana ujanja huyo.
Kwa hyo huyo chalamila ndo unamuona anazo za kumtosha kichwani?
Kama ndo unavyomuona basi nina wasiwasi na ubongo wako
 
Kwa hyo huyo chalamila ndo unamuona anazo za kumtosha kichwani?
Kama ndo unavyomuona basi nina wasiwasi na ubongo wako
Sana tena, wewe una kipi cha kushindana nae? Ushawahi kuwa hata monitor darasani?
 
Naungana na dokta mihogo
 
Huyu mzee sasa anachanganyikiwa au anatafuta kiki kwa nguvu.

Hivi yule demu wake aliyemgonga Mwanza mpaka akamvunja mkono bado anae? mashumbusi sijuwi, sikumbuki vizuri jina lake.
personal attacks haziruhusiwi hapa JF. Naona tujikite kwenye hoja kuhusu kuuzwaji wa Bandari yetu ya salama.
 
Kwanini Dar hatakiwi mkuu wa mkoa anayejielewa?
Angalia hii list
Makonda
Kunenge
Makala
Chalamila
Ni Bora hata tukae bila mkuu wa mkoa.
Chalamila anajielewa sana .msomi na smart...sema ni comedian tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…