Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

Hao mnawaonea tu, wewe ungepinga amri ya mkuu wako?

Kukomesha hayo badilisheni katiba
 
Ua mmoja basi roho yako isuuzike
 
Hao mnawaonea tu, wewe ungepinga amri ya mkuu wako?

Kukomesha hayo badilisheni katiba
Hatuna ugomvi na kaka zetu na dada zetu police.

Maandamano ya kudai tume HURU na Katiba mpya yatawazaidia pia wao Ili ajira zao zilindwe.

Police anaweza kufukuzwa KAZI na mkuu wake wa kituo na asikate Rufaa popote.
 
Siku ingine polisi asipewe silaha za kivita wakati hakuna kitisho Cha USALAMA.

Nimeiona picha police kabeba silaha nzito kana kwamba tuko vitani!!!!

Serikali ya CCM acheni uoga,

Maandamano Si MAPINDUZI!!
 

Mbona hao akina Mdudu na Mwabakusi walijidai kuwa leo ni siku ya maandamano, sasa yapo wapi?
 
kwakweli Jeshi la Polisi wamefanya kazi kubwa na nzuri kwelikweli kuwathibiti majambazi, wezi, wapaoranji kuvuruga amani na shughuli za wananachi.

Pongezi kubwa sana kwa Jeshi letu tukufu kwa weledi mkubwa kudhibiti waanadamanaji hawa haramu....
wakabiliwe vizuri sana right, left and center hadi akili ziwakae sawa... ili kusudi waendelee kuskilizia kinachoendelea kama Dr slaa anavyoskilizia akiwa amejificha uvunguni mwa kitanda... 😀 tsaaahtshaaasaaashhhhh
 
Mbona hao akina Mdudu na Mwabakusi walijidai kuwa leo ni siku ya maandamano, sasa yapo wapi?
Wewe ni mrundi Hadi ushindwe kujua nini kinaendelea?

Maandamano yanaendelea, na police wameitikia wito wa maandamano tangu Jana usiku.
 
Tuungane kwakweli kuwapongeza Police kuitikia wito wa maandamano tangu Jana usiku.

Ajira za police hazina security, RPC anaweza kumtimua police na asikate Rufaa kokote.

Ndani ya Katiba mpya ajira zao zitalindwa hivyo police wapongezwe Kwa kuitikia na kushiriki maandamano.

Message sent, Dunia inajua nini kumejiri Mbeya.

Aluta continua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…