Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

Unakuaje na chuki kama hivi kwa mtu hata asiyekujua?
Kisa Siasa.
We utakufa mdomo wazi na mavi yako tumboni nyau we.
Nyie ndio baina ya mitoto iliyokuzwa kwa kulishwa panya na kunguru na nyama za mbwa.
Halafu sijui mmeibukia wapi nyie mapopo humu mtandaoni.
 
Baba yao yuko kaburini Chato mwambie aende
 
Mkuu samahani lakini una miaka mingapi ?
 
Mkuu unaandika huu upuuzi kama vile umeongea na Mungu na akakuhakikishia uzima wa milele mpaka siku Yesu atakaporudi.

Roho hizi ndizo wanazokuwa nazo wale wanaopaa na ungo usiku wakiwa wamejichora chokaa mwili mzima.
 
Dr Slaa azuiwe kuongea hadharani , umri umemtupa sana , iko siku aweza kuropoka maneno yatakayomletea Aibu yeye au wanaomlipa
 
Majaliwa alituambia ni mzima anachapa kazi.

Slaa taarifa za kuwa Magufuli alikuwa anaumwa alizipata wapi? Serikali yeyenyewe kupitia waziri mkuu ilitoa taarifa kuwa Magufuli alikuwa mzima na anafanya kazi kama kawaida! Utamuombea mtu mzima ili iweje? Slaa naona anatafuta nafasi katika hii serikali baada ya kuonekana kuwa he is irrelevant na mke kamkimbia!!
 
Tuma mambo mengi ya maana mathalani katika katiba, bwawa la umeme, ujenzi wa madawati

Slaa apuuzwe kama Ndugae
Naogopa utakuja kana hii kauli come 5 years
pole naona limekupata la gizani...Lugha imewekwa kuwasiliana nawajulisha na hao wenye lugha yao nao watakuwa wamenielewa na wewe utakuwa umenielewa
 
Hagiography.
 
Huenda Serikali haikutoa taarifa ili kulinda faragha ya mgonjwa na kupunguza taharuki miongoni mwa umma.
 
Dr Slaa azuiwe kuongea hadharani , umri umemtupa sana , iko siku aweza kuropoka maneno yatakayomletea Aibu yeye au wanaomlipa
Mkuu mtu yeyote anayeamua kuitetea CCM na serikali yake ni lazima aonekane kama mwendawazimu kwani analazimika kujitoa ufahamu. Trust me. Huyu Dr Slaa anatia huruma sasa hivi anavyoongea kama anaweweseka. Na kadiri anavyoongea ndivyo anavyokuwa kituko. Sijui alijisikiaje pale aliposema amekasiriki kwa sababu watu wanasema Mbowe siyo gaidi halafu baada ya siku chache wanafuta kesi! Nadhani aliumia sana. John Heche alishampa onyo akamwambia akaendelea kuleta ujinga watashindwa kuendelea kumsitiri, watoe hadharani mambo yaliyokuwa anafanya wakati akiwa Chadema. Anasema yeye hana chama ila anazungumza kama mtanzania lakini hapo hapo anaongea kama hawa vijana wanajiita chawa siku hizi.
 
Na wewe utaondolewa kwa dhambi gani?
 
Huenda Serikali haikutoa taarifa ili kulinda faragha ya mgonjwa na kupunguza taharuki miongoni mwa umma.

Kama serikali iliogopa taharuki kwa sababu Rais alikuwa mgonjwa , hiyo ni ishara ya kuonesha kuwa nchi ina taasisi dhaifu hivyo umuhimu wa kupata Katiba mpya!! Rais ni binaadam hivyo kuugua ni jambo la kawaida na watu waliomchagua wana kila sababu yakujua pale anapopatwa na matatizo kwani wamekasimu madaraka makubwa ya nchi yao kwake!

Rais ni mali ya wale waliomchagua hivyo hakuna faragha aliyokuwa nayo mbele ya waliomchagua; The president is a public good!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…