Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
T shirt huwa naziona kwenye maombolezo siyo maombezi.
Kumuombea mtu hakuhitaji t shirt bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
T shirt huwa naziona kwenye maombolezo siyo maombezi.
Kumuombea mtu hakuhitaji t shirt bwashee!
Unakuaje na chuki kama hivi kwa mtu hata asiyekujua?Tuliomba mungu atuondelee KERO!!!
Akakubali faster liliugua siku mbili akafa bila kunya hata mavi. Yule baada ya maombi yetu kukubalika mungu alimtwaa haraka lakini alifagia kihenge chote pale ikulu.
Na alivyokuwa hovyo alijijjengea maadui muhimbili akapelekwa zahati za vichochoroni ambako hata ABC za COVID hawana.
Akafa faster.
Mungu fundi
Baba yao yuko kaburini Chato mwambie aendeMwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.
Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.
========
Dkt. Slaa: Mama Samia tunakupa pole sana lakini hili pia linikumbushe uchungu mkubwa kidogo niliupata na labda Serikali kwenye hili mtusikilize, Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu tunaempenda kwa mwenyezi Mungu katika kipindi kigumu cha maisha yake alipokuwa anaumwa kwa kutuficha taarifa.
Msiogope nikitamka hivi, kama nitakamatwa nitakamatwa mimi. Serikali ni ya kwetu. Wakristo kama kuna wakati tunatakiwa kumuombea mtu ni wakati wa mwisho wa maisha yake.
Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.
Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.
Dkt. Slaa: Siku hizi ni rahisi hata utafiti hauhitaji kufanya publication, kutafuta hata hela. Chapisha iingie kwenye mtandao online. Haiitaji hata hela siku hizi, mbona mengi ya matusi tunayaingiza kwenye mitandao na yanazunguka bure, kwanini professional article well said ishindwe kuchapishwa iweze kufikia watu kwasababu karibu kila mtu kwa takwimu tulizonazo watanzania takriban milioni 25 wana smartphone.
Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge.
Mkuu samahani lakini una miaka mingapi ?Tuliomba mungu atuondelee KERO!!!
Akakubali faster liliugua siku mbili akafa bila kunya hata mavi. Yule baada ya maombi yetu kukubalika mungu alimtwaa haraka lakini alifagia kihenge chote pale ikulu.
Na alivyokuwa hovyo alijijjengea maadui muhimbili akapelekwa zahati za vichochoroni ambako hata ABC za COVID hawana.
Akafa faster.
Mungu fundi
Kwenye kampuni?Anasaka wenyekiti wa bodi.
Mkuu unaandika huu upuuzi kama vile umeongea na Mungu na akakuhakikishia uzima wa milele mpaka siku Yesu atakaporudi.Tuliomba mungu atuondelee KERO!!!
Akakubali faster liliugua siku mbili akafa bila kunya hata mavi. Yule baada ya maombi yetu kukubalika mungu alimtwaa haraka lakini alifagia kihenge chote pale ikulu.
Na alivyokuwa hovyo alijijjengea maadui muhimbili akapelekwa zahati za vichochoroni ambako hata ABC za COVID hawana.
Akafa faster.
Mungu fundi
Majaliwa alituambia ni mzima anachapa kazi.
Naogopa utakuja kana hii kauli come 5 yearsTuma mambo mengi ya maana mathalani katika katiba, bwawa la umeme, ujenzi wa madawati
Slaa apuuzwe kama Ndugae
pole naona limekupata la gizani...Lugha imewekwa kuwasiliana nawajulisha na hao wenye lugha yao nao watakuwa wamenielewa na wewe utakuwa umenielewaLugha yetu ni nzuri sana. Itumie utaeleweka. Acha kukimbilia lugha za wengine na kuzitumia hovyohovyo kama ulivyofanya hapa.
Huyo mtu wako hana lolote na si chochote bali tapeli anayefanikiwa kukoga nyoyo za watu wenye ufinyu wa kuelewa mambo kama wewe.
Hagiography.Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli.
Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama sisimizi na kila aliyemwambia alikuwa na maadui wengi, alimwambia afungue TV yake zilizorekodi umati wa watu katika vituo vyote ambavyo mwili wake ulipita.
========
Dkt. Slaa: Mama Samia tunakupa pole sana lakini hili pia linikumbushe uchungu mkubwa kidogo niliupata na labda Serikali kwenye hili mtusikilize, Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu tunaempenda kwa mwenyezi Mungu katika kipindi kigumu cha maisha yake alipokuwa anaumwa kwa kutuficha taarifa.
Msiogope nikitamka hivi, kama nitakamatwa nitakamatwa mimi. Serikali ni ya kwetu. Wakristo kama kuna wakati tunatakiwa kumuombea mtu ni wakati wa mwisho wa maisha yake.
Tunakuja kuambiwa amefariki lakini tunajua alikuwa anaumwa kabla ya pale na kile ndio kipindi tulitakiwa tujulishwe, huyu ambae alipenda madhehebu ya dini kila siku ya Mungu alienda, kanisani au msikitini.
Kwanini unawanyima watanzania hao fursa na nafasi ya kuwaombea kwa kadiri ya imani zao. Hii iwe ni fundisho limetokea hatuwezi kurudisha nyuma lakini tunaomba Serikali muwe makini, hamuwezi kuhodhi imani ya binadamu.
Dkt. Slaa: Siku hizi ni rahisi hata utafiti hauhitaji kufanya publication, kutafuta hata hela. Chapisha iingie kwenye mtandao online. Haiitaji hata hela siku hizi, mbona mengi ya matusi tunayaingiza kwenye mitandao na yanazunguka bure, kwanini professional article well said ishindwe kuchapishwa iweze kufikia watu kwasababu karibu kila mtu kwa takwimu tulizonazo watanzania takriban milioni 25 wana smartphone.
Ukiwafikia watanzania milioni 25 umefikia critical mass ambao unahitaji kuwapelekea information, hiyo naacha kama challenge.
Huenda Serikali haikutoa taarifa ili kulinda faragha ya mgonjwa na kupunguza taharuki miongoni mwa umma.Slaa taarifa za kuwa Magufuli alikuwa anaumwa alizipata wapi? Serikali yeyenyewe kupitia waziri mkuu ilitoa taarifa kuwa Magufuli alikuwa mzima na anafanya kazi kama kawaida! Utamuombea mtu mzima ili iweje? Slaa naona anatafuta nafasi katika hii serikali baada ya kuonekana kuwa he is irrelevant na mke kamkimbia!!
sidhani kama ni sahihi ulichokiandika.Mshukuru Mabeyo na Sirro.
Mkuu mtu yeyote anayeamua kuitetea CCM na serikali yake ni lazima aonekane kama mwendawazimu kwani analazimika kujitoa ufahamu. Trust me. Huyu Dr Slaa anatia huruma sasa hivi anavyoongea kama anaweweseka. Na kadiri anavyoongea ndivyo anavyokuwa kituko. Sijui alijisikiaje pale aliposema amekasiriki kwa sababu watu wanasema Mbowe siyo gaidi halafu baada ya siku chache wanafuta kesi! Nadhani aliumia sana. John Heche alishampa onyo akamwambia akaendelea kuleta ujinga watashindwa kuendelea kumsitiri, watoe hadharani mambo yaliyokuwa anafanya wakati akiwa Chadema. Anasema yeye hana chama ila anazungumza kama mtanzania lakini hapo hapo anaongea kama hawa vijana wanajiita chawa siku hizi.Dr Slaa azuiwe kuongea hadharani , umri umemtupa sana , iko siku aweza kuropoka maneno yatakayomletea Aibu yeye au wanaomlipa
Na wewe utaondolewa kwa dhambi gani?Ungeomba mpaka unye mavi magumu Bado asingepona. Na maombi ya wenye dhambi ni kelele mbele za mungu.
Lijitu limeondolewa baada ya mauwaji na utekaji. Alikuwa na hasira na Lissu baada ya uchaguzi akatuma migambo wake kwenda kumkamata lissu ubalozi wa ujerumani Ili limuue ikashindikana.
Mungu akalipiga mapigo ya faraoh kuanzia wasaidizi wake mpake yeye wote Waka fyekeleewa mbali ndani ya mwezi mmoja TU.
Nchi kimyaa
Huenda Serikali haikutoa taarifa ili kulinda faragha ya mgonjwa na kupunguza taharuki miongoni mwa umma.
Mbona kitamfaa! Maana anashabihiana nacho sana, wewe unaona wivu?Anasaka uenyekiti wa kigoda cha Magufuli