Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

Haka kazee bana mimi naona amfuate tu mwendazake ili akakae nae vzur huko moyoni
 
..naona kama ni hotuba ya kupambana na awamu ya nne, wakati tuko ktk awamu ya 6.

..upo uwezekano Dr.Slaa akarudi kwenye siasa za vyama lakini sio CCM.
 
Ukiondoa mambo kama haya yakukomoa mahasimu wake, angalau yeye alikuwa anafanya kwa moyo wa dhati mambo ya nchi yake na alitamani kuiona nchi yake na watu wake siku moja wanakuwa wakuheshimika duniani...He just did all he could and for this I will respect him mpaka nafika mbinguni kwa baba nikiwa na shukrani angalau kabla ya kurudi kwake nimeona mwafrica mbaye aliondoa dhana ya kuwa hatuwezi na dunia ikajua kweli tunaweza ila ni bahati mbaya huwa tunaongozwa na wasiojiamini
Mkuu 'Ame', samahani ni mimi tena, 'Kalamu1'.

Ninakubaliana na hayo unayotamani kwa waTanzania, tena saaana; lakini siyo kwa huyo mtu unayemsifia kuwa na moyo huo.

Kama kweli alikuwa na moyo wa dhati wa kuwatumikia waTanzania na kuwafanya wawe ni watu wa kujiamini, asingewageuza kuwa kama mifugo yake.

Nami nilipenda sana hiyo hali yake ya kujifanya anawatumikia "Wanyonge"; lakini kumbe maana yake ya unyonge ikiwa kutohoji chochote anachokifanya yeye, hata kama ni kibaya.
Baya zaidi ilikuwa ni kuhadaa watu kuwa anasimamia maslahi ya wanyonge, huku akikiuka sheria zilizopo, hadi katiba. Kiongozi wa namna hiyo hafai kabisa.
 
Unahaki ya kuwaza kama uwazavyo, lakini na mimi na haki ya kuwaza niwazavyo. Kwangu anabaki kama alama ya mwafrica aliyeonyesha mambo yanaweza kutokea kwa waafrica...Hayo yakugeuza watu kama ng'ombe ni perspective tu, je wanavyogeuzwa kupongeza wanaowadondoshea makombo kutoka meza kuu za wateuliwa ni aje?

Inategemea upo upande upi, wa kukubali kuwa ng'ombe ili angalau uwe nguvu kazi ya kulima shamba lilishe wenye njaa au mbwa kuwa mlamba makombo ya wateuliwa; which one is best depends on preferences!
 
Naona unapiga mizungusho tu na mipasho mingi bila ya 'substance' katika mabandiko yako mengi hapa, kwenye hii mada.

Kwa mfano, chukulia hayo maneno 13 katika mstari wa kwanza kwenye bandiko lako hapo juu. Kama unajuwa hivyo, ina maana tunyamaze tusikujibu chochote katika hayo unayoandika?
Huu ni mfano mmoja tu kuonyesha jinsi unavyo jaza maneno kwenye maandiko yako bila ya kuwa na maana yoyote. Hayo yote uliyoandika baada ya huo mstari wa kwanza hayana hoja yoyote ya maana.
 
Anashindwa kwenda na awamu!

Badala ya kuwahimiza Watanzania wamwombe Mungu aibariki Serikali iliyopo madarakani yeye anajikita na mambo yaliyopita
 
Samaki akitaka kufa hutapatapa sana.Mwacheni tu mama wa watu.Ivi yule jamaa na amri zake unadhan hakuwafunga mdomo wasiseme kama anaumwa
 
Hayo sasa ndiyo madhara ya Rais Katili na DIKTETA. ANi nani alikuwa na ujasiri wa kusema Rais Anaumwa? Labda mpaka kama angekubali kusema mwenyewe.

Dr Slaa anajitoa ufahamu tu. Kwanza Mwendazake alikuwa haamini kuwa angekufa karibuni! Ushahidi ni kauli za akina Kabudi, Agrey Mwanri na Kangi Lugola waliokuwa wanamuita mungu. Naye akaamini kuwa ni mungu. Kumbe alikuwa sawa na Zumaridi tu
Kwa hiyo hata msaidizi wake ambaye sasa hivi ndiye rais wa kikatiba alishiriki kikamilifu kuzuia Watanzania wasitaarifiwe hali ya hayati JPM? Kama ndvyo, anadhani atadumu kwenye mamlaka haya ya mpito na ya kibinadamu pasipo kuonja hasira za Watanzania na ndugu zake?

Kwa hiyo ilifanyika kwa makusudi kwa kuwa wasaidizi wake wote walimchukia?
 
alafu huyu babu ajue kabsa Hiyo Ruhusa ya kumuombea meko tungeipata Mimi na watz tulio wengi tungemuombea afe mapema zaidi Kwanza alichelewa Sana kufa.
Tumshukuru MUNGU , na wao pia wamshukuru MUNGU kwamba yeye nae kalala ndani ya nyumba , humo udongoni mvua haimtiririkii, wala jua la udongo halimpigi, wacheni aendelee kula kiyoyozi polepole,
 
Tuliomba mungu atuondelee KERO!!!

Akakubali faster liliugua siku mbili akafa bila kunya hata mavi. Yule baada ya maombi yetu kukubalika mungu alimtwaa haraka lakini alifagia kihenge chote pale ikulu.

Na alivyokuwa hovyo alijijjengea maadui muhimbili akapelekwa zahati za vichochoroni ambako hata ABC za COVID hawana.

Akafa faster.

Mungu fundi
Kumbe alikuwa bwege hivyo, asee!
 
Watu wa Msoga ndio walikuzuia usivae barakoa?

Watu wa Msoga ndio walikupangia ratiba ngumu hadi ya kulala na mafile ofisini wakati unajijua mgonjwa?

Watu wa Msoga ndio walikuzuia usisafiri usiende kupata matibabu stahiki ya Maradhi yako?

yale matangazo ya makampuni ya Simu kuwa '…Makosa yatatozwa…' yanakuwa applicable kwny eneo lingine la maisha pia
Imeandikwa
," hata watu waovu waliumbwa kwa ajili ya siku ya ubaya"

Mtu muovu ndio atakuadhibu siku MUNGU akikuchoka, hutaadhibiwa na watumishi wa MUNGU.
 
Hayo sasa ndiyo madhara ya Rais Katili na DIKTETA. ANi nani alikuwa na ujasiri wa kusema Rais Anaumwa? Labda mpaka kama angekubali kusema mwenyewe.

Dr Slaa anajitoa ufahamu tu. Kwanza Mwendazake alikuwa haamini kuwa angekufa karibuni! Ushahidi ni kauli za akina Kabudi, Agrey Mwanri na Kangi Lugola waliokuwa wanamuita mungu. Naye akaamini kuwa ni mungu. Kumbe alikuwa sawa na Zumaridi tu
Zumaridi........[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji57]
 
..naona kama ni hotuba ya kupambana na awamu ya nne, wakati tuko ktk awamu ya 6.

..upo uwezekano Dr.Slaa akarudi kwenye siasa za vyama lakini sio CCM.
Chama kipi hicho? Maana kwa Chadema sasa hawezi, kwa ACT ilivyo na itikadi zake pia hawezi
Cuf? NCCR?
 
Kwa hiyo hata msaidizi wake ambaye sasa hivi ndiye rais wa kikatiba alishiriki kikamilifu kuzuia Watanzania wasitaarifiwe hali ya hayati JPM? Kama ndvyo, anadhani atadumu kwenye mamlaka haya ya mpito na ya kibinadamu pasipo kuonja hasira za Watanzania na ndugu zake?

Kwa hiyo ilifanyika kwa makusudi kwa kuwa wasaidizi wake wote walimchukia?
Samia hakua na nguvu kipindi kile
 
Back
Top Bottom