msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Wewe ni mse..n.ge wa nchi kavu na baharini!
Tahira mkubwa na zezeta juu!
Jinga kabisa
Nakuweka kwenye ignore list hata ukinijibu sikuoni
Idiot and a big moran!
Shenzi wa head
Unataka uzione korodani? Ha ha ha!Weka ushaidi hapa tuone
Hajasema kuwa lissu hajapigwa kwa sababu za kisiasa bali hajui kapigwa kwa sab gn mpk upelelezi ukamilike na taarifa itoke.Dr Slaa kasema ni tukio la kawaida? Kama ni kweli ameongea haya maneno nitamtoa maanani moja kwa moja!
Nadhani anataka kutumika kuendesha propaganda kuwa Lissu hakushambuliwa kwasababu za kisiasa!
Ukisoma btn the lines, kusema ni tukio la kawaida, ni sawa na kudownplay tukio zima!
Ubalozi aliopewa, naona mojawapo ya masharti, ni “ubalozi wa propaganda dhidi ya Lissu”
Sasa karata ya serikali ya ccm dhidi ya Lissu ni Slaa!

Kwa nini mlitoa cctv camera? ?Ni kweli kabisa na kila siku nimeendelea kusema humu JF ya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha unathibitisha mtu aliyemdungua Lissu risasi. Nikaendelea kuwapa member walalamishi wasiotaka kuelewa wakereketwa wa upande wa pili kama wana evidence wapeleke polisi haki itendeke washukiwa wafikishwe kortini.
Note;"huna haki ya kuzungumza pasipo kuwa na ushahidi wa kile unachokizungumza"
Siyo lazima aseme “hajapigwa risasi kwasababu za kisiasa” wala sikusema kwamba amesema hivyo!Hajasema kuwa lissu hajapigwa kwa sababu za kisiasa bali hajui kapigwa kwa sab gn mpk upelelezi ukamilike na taarifa itoke.
anazeeka vibaya huyu mzee..!Wanasiasa wana vipaji vikubwa vya unafiki!
Yy alipomtuhumu Lowassa kwa ufisadi mbona hakwenda kutoa taarifa police Badala yake aliishia kuongea na vyombo vya Habari? Au wakati huo hapakuwa na police?
Amesema “ni jambo ambalo ni tukio la kawaida”Hajasema kuwa lissu hajapigwa kwa sababu za kisiasa bali hajui kapigwa kwa sab gn mpk upelelezi ukamilike na taarifa itoke.