Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Wewe ni mse..n.ge wa nchi kavu na baharini!
Tahira mkubwa na zezeta juu!
Jinga kabisa
Nakuweka kwenye ignore list hata ukinijibu sikuoni
Idiot and a big moran!
Shenzi wa head

kakufundisha lusinde,Mlinga,msukuma,chakubanga au Pogba mwenyewe
 
Kwa wale wanaofuatilia siasa za kimataifa aliligwa risasi senator Scarilis hala Virginia USA ilikuwa issue kubwa sana Marekani sasa nashangaa kupigwa risasi kwa mnadhimu mkuu wa upinzani huyu mzee anasema ni jambo la kawaida!!!
 
Dr Slaa kasema ni tukio la kawaida? Kama ni kweli ameongea haya maneno nitamtoa maanani moja kwa moja!

Nadhani anataka kutumika kuendesha propaganda kuwa Lissu hakushambuliwa kwasababu za kisiasa!

Ukisoma btn the lines, kusema ni tukio la kawaida, ni sawa na kudownplay tukio zima!

Ubalozi aliopewa, naona mojawapo ya masharti, ni “ubalozi wa propaganda dhidi ya Lissu”

Sasa karata ya serikali ya ccm dhidi ya Lissu ni Slaa!
Hajasema kuwa lissu hajapigwa kwa sababu za kisiasa bali hajui kapigwa kwa sab gn mpk upelelezi ukamilike na taarifa itoke.
 
Angalikua Bado chadema ungesikia " anawajua waliompiga risasi lissu na kama polisi wasipowakamata atawataja "...

Sio kila jambo unapaswa kuongea!
 
Hivi nyie mnaomlaumu Padri Slaa ,mmeshawahi kuonja Katetero nyie! Mie hats simlaumu ile kitu akionjeshwa mtawa tens uzeeni....lazima afuate anachoelekezwa na mama!
 
Hiv mbona mabalozi wengne walioteuliwa hatuwasikii wakimsifu JPM wala wakitetea uozo wa serikali, kwa nin yeye tu. I smell something fishy. By the way hatujui ata kapewa ubaloz wa wap. Nahis ametumwa kam sio kupangwa
 
Ninafikiri ni vyema na yeye a kapigwa ili a one utamu au uchungu wake. Asituletee za kuletwa hapa
 
Ni kweli kabisa na kila siku nimeendelea kusema humu JF ya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha unathibitisha mtu aliyemdungua Lissu risasi. Nikaendelea kuwapa member walalamishi wasiotaka kuelewa wakereketwa wa upande wa pili kama wana evidence wapeleke polisi haki itendeke washukiwa wafikishwe kortini.

Note;"huna haki ya kuzungumza pasipo kuwa na ushahidi wa kile unachokizungumza"
Kwa nini mlitoa cctv camera? ?
 
Mi nasikia tu balozi balozi, kwani anaiwakilisha tz ktk nchi gani manenge?!
 
Hajasema kuwa lissu hajapigwa kwa sababu za kisiasa bali hajui kapigwa kwa sab gn mpk upelelezi ukamilike na taarifa itoke.
Siyo lazima aseme “hajapigwa risasi kwasababu za kisiasa” wala sikusema kwamba amesema hivyo!

Soma tena utanielewa!

Kupigwa risasi kwa mwanasiasa wa upinzani mchana kweupe kwa dhumuni la kuuwawa ni “tukio ambalo ni jambo la kawaida”?
 
Wanasiasa wana vipaji vikubwa vya unafiki!

Yy alipomtuhumu Lowassa kwa ufisadi mbona hakwenda kutoa taarifa police Badala yake aliishia kuongea na vyombo vya Habari? Au wakati huo hapakuwa na police?
anazeeka vibaya huyu mzee..!
 
Hajasema kuwa lissu hajapigwa kwa sababu za kisiasa bali hajui kapigwa kwa sab gn mpk upelelezi ukamilike na taarifa itoke.
Amesema “ni jambo ambalo ni tukio la kawaida”

Kutaka kuuwawa kwa mwanasiasa wa upinzani mchana kweupe na bila uchunguzi, siyo tukio la kawaida!
 
kwa sasa dr.mihogo atulie ale mambo ya kuongea huku unakula atakuja kupaliwa bure
 
Back
Top Bottom