Aliokwambia raisi wa Tanzania anakataliwa kwa kura za wananchi ni nani? Raisi aliyesema kwa kinywa chake kuwa hata msipoichagua CCM ifashinda tu. 🤣🤣🤣Wanachi hata Mbowe walimkataa, alitembea nchi nx8ma kuomba kura, akabwagwa vibaya sana na Kikwete kwa kura 80%, akaja Slaa na yeye akatembea nchi nzima akabwagwa vibaya sana.
Mjitahidi sana kwenda na sheria na kanuni za nchi. 2025 siyo mbali, kama wananchi wameukataa mkataba, si mnambwaga Rais kwenye kura? Tatizo nini?
Wewe bibi ndie unajidanganya, mwambie huyo muongo mwenzio atuwekee clip pale juu kabisa, inayosema kile alichoandika kumhusu Dr. Slaa, kinyume na hapo, nyie ni kundi la wajinga msio na maana yoyote.Vijana msijidanganye hapa kuwa kosa la uhaini ni kama makosa mengine, kuwa mpaka kuwe na ushahidi wa kufanyika. Uhaini ukishafanyika ndiyo tayari tena hakuna kesi hapo.
Kosa lq uhaini ni kama hivi mnavyoona, kuwahiwa mapema kabisa.
Juu wapi? Mwambie huyo mjinga mwenzio aipandishe juu kabisa kwenye thread yake tuitazame.Mbona unakua mbishi kama dagaa? Video ipo juu mwanzo huko angalia usiendelee kukaza shingo ebo.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Huyo slaa alitakiwa kufanywa kama mtikila alivyofanywa na mkapa.Kumpindua Rais siyo kitu rahisi kama kupindua Sahani iliyojaa Makange ya Kitimoto. Kuweni serious sometimes
Kazi ya kitoto imefanyika studio usiku usiku.Aiseee studio imefanya kazi
Wewe mbona unapenda kutafuniwa sana. ?Juu wapi? Mwambie huyo mjinga mwenzio aipandishe juu kabisa kwenye thread yake tuitazame.
Povu la nini wakati Slaa kaongea mbele ya vyombo vya habarii?Ndio maana nawambia nyie nguruwe na kimbulu wa ccm jiendelezeni kielimu, nakupa mfano mwepesi wewe kuwadi la dpworld ili uelewe makosa hata kama ni mbumbumbu mfano, mtu akisema nitachukua panga niende nikamuuwe sabaya lile jambaz sugu lililokubali ujambazi mahakama kuu moshi, je nitashtakiwa kwa mauwaji ya sabaya huyo jambaz.
Nyie wajinga si ndio mmeleta huu uzi hapa, sasa kwanini mimi nihangaike kutafuta kile mnachotakiwa kuleta nyie ili kuthibitisha madai yenu?Wewe mbona unapenda kutafuniwa sana. ?
Kweli kamalizia.kwa kusema " tutafanya hivyo"?The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa
Kwa hii kauli Dr Slaa anaweza kuchezea Kitanzi
Viongozi wote wa upinzani si wapumbavu kuongea hayo.Kazi ya kitoto imefanyika studio usiku usiku.
Mada hapa umeiona?Akina nani wapo nyuma ya kuuzwa Tanganyika?
Hivi kwa huu ujinga wenu hamjioni mnavyothibitisha mna chuki binafsi dhidi ya Dr. Slaa, ndio maana mmeleta uzi usio na ushahidi wa video kuthibitisha madai yenu dhidi yake?Sahihi kabisa maalim Big show.
Waislamu walipakaziwa ugaidi wamekaa jela na wengi wao wamefia jela bila ushahidi wala kupelekwa mahakamani
Huyu kizee wa kuwekwa jela na hukumu ipete.
Kosa la kuchochea au kutaka kupindua nchi ni KIFO.
Nyie watoto tu hamna lolote, tutawavunja mbavu hizo 🤣🤣🤣Kama umekasirika si utoke mtaani ulianzishe.
Usitupigie kelele humu.
Hatupo mahakamani hapa.Wewe bibi ndie unajidanganya, mwambie huyo muongo mwenzio atuwekee clip pale juu kabisa, inayosema kile alichoandika kumhusu Dr. Slaa, kinyume na hapo, nyie ni kundi la wajinga msio na maana yoyote.
Huu ushahidi hautoshi kuthibitisha madai ya mleta mada, huyo Dr. Slaa amezungumza maneno machache ambayo hata sekunde kumi hazijafika, halafu mmekata maneno ili kutimiza malengo yenu ovu dhidi yake.View attachment 2718158
Mzee mtondoo ataubeba sana
Rudi juu post #6 utamuona Dr.slaa anavoropoka kwa jazba.Hivi kwa huu ujinga wenu hamjioni mnavyothibitisha mna chuki binafsi dhidi ya Dr. Slaa, ndio maana mmeleta uzi usio na ushahidi wa video kuthibitisha madai yenu dhidi yake?
Akili hamna kabisa.
Kufanya vitendo vya uhaini ni kosa bila ya kujali kama huo uhaini utafanikiwa au laaHivi mnadhania kumpindua Rais ni easy kama kumpindua mke?