Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Rudi juu post #6 utamuona Dr.slaa anavoropoka kwa jazba.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Nimeiona hiyo post #6, ni video fupi ambayo haithibitishi kila neno aliloandika mleta mada pale juu, akidai ndio maneno yaliyotamkwa na Dr. Slaa..

Mna akili ndogo, mnashangilia vitu visivyo na ushahidi kama watoto..
 
Huu ushahidi hautoshi kuthibitisha madai ya mleta mada, huyo Dr. Slaa amezungumza maneno machache ambayo hata sekunde kumi hazijafika, halafu mmekata maneno ili kutimiza malengo yenu ovu dhidi yake.

Mlichofanya hapo ni utoto.
Inasemekana wamenaswa kwenye maongezi ya simu zilizodukuliwa.
 
Kwa kesi ya uchochezi labda wangeweza kumpata. Lakini kosa la uhaini hata mimi ningekuwa ndio wakili mzee anashinda mapema sana. Kuipindua serikali ya nyumbani kwake, haijawahi kuwa uhaini. Hapa mwendesha mashtaka atakuwa na wajibu wa kuthibitisha Slaa alitaka kuipindua serikali ya jamhuriya muungano wa Tanzania.
Lengo kubwa la mashtaka haya ni kuwatesa wahusika ili kuwatia woga watu wengine wenye nia ya kuipinga serikali ktk suala la uwekezaji ktk bandari.
 
Kubadilishiwa mashtaka sio justification ya huu usanii mlioleta hapa, msijidanganye kama watoto wadogo kwa mihemko yenu ya kidini.
 
watu weusi tunashida sana..

Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
Hoja za DP World zinahusisha kupindua Serikali?

Mkataba wa Bandari sio kichaka cha kuleta agenda za kishenzi …wangapi wamejadili na kupinga mkataba na bado wanaendelea kupinga na hawajaguswa ?

Marekani waasisi wa Demokrasia wana deal na Trump kwa jaribio kama hilo akiwa Rais sembuse sie Nchi ya Dunia ya elf 3
 
Inasemekana wamenaswa kwenye maongezi ya simu zilizodukuliwa.
Mbona hujielewi, kwa hiyo ushahidi ni video uliyotuwekea pale juu, au ni hiyo simu iliyodukuliwa?

Kubanwa kidogo tu, unaanza kuhamisha magoli, nyie ni wajinga.
 
Nimeiona hiyo post #6, ni video fupi ambayo haithibitishi kila neno aliloandika mleta mada pale juu, akidai ndio maneno yaliyotamkwa na Dr. Slaa..

Mna akili ndogo, mnashangilia vitu visivyo na ushahidi kama watoto..
Aise umetaka nimekuonesha bado unalalamika ni fupi unataka ndefu wewe mbona unapenda ndefu sana?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Afadhali hata Mdude kazoea jela huyo Mzee anaweza kufia huko
 
Aya zote nne ni maneno kutoka kwa Dr. Slaa?

Kasheshe duh
 
Mkuu Ritz mbona unavuka mipaka kwa kuweka maneno ambayo watanzania hawajayasikia yakitamkwa na huyo mtu kwenye vyombo vya habari recently? Nia ni nini hasa?!πŸ€”
Je kutetea mirija ambayo mlishajijengea kwa njia zenu?
Je nia ni kuona damu ya wanaowapigania watanzania walio wengi ikimwagika kwa maslahi ya wachache?
Hii nchi ni ya wote, kila mtu ana haki ya kuongea kile kinachomjia kichwani na akivuka mipaka arekebishwe as long as kuna tatizo linalotakiwa kupatiwa muafaka.
Mbona mmefika huko kabla ya kujibu hoja za wenye maswali?
Laana itawatafuna, Kama sio nyinyi bhasi watoto wenu hakika nawaambia. It's just a matter of time
 
Umesahau Nyerere aliacha kazi yake, Madela alifungwa gerezani, Kenyatta alifungwa gerezani. Hawa hawakuwa na shida ya pesa, wala njaa, bali walisukumwa na uzalendo.
 
Mbele ya sheria kosa lao ni uhaini au ni uchochezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…