Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Wote mlipotea kipindi Cha mwendazakeKwanza, karibu jamvini baada ya kupotea miaka mingi sana.
Tunatumai u mzima wa afya tele.
Swali lako ni zuri sana na la kina, binafsi ntadonoa kidogo kidogo huku nikitazama hali ya hewa.
Tuwekee sasa wewe original clip tuione badala ya kutokwa povu kama mgonjwa wa kifafa,mimi binafsi nataka kuiona tu hiyo og clip.Wewe ni mjinga kama wenzako, mmejaza maneno ya uongo yasiyoendana na kile alichosema Dr. Slaa.
Hayo maneno ya dk. Slaa unayosema tuyajadili yako wapi?Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.
Angenyakwa kabla Mahakama ingemuachia huru walisubiri avunje sheria.Kama kitengo kilisubili slaa aongee hayo ili wamkamate basi kitengo kipo very low standard.
We tukana kwa raha zakoHii video nimeshaitazama toka mwanzo, kwanza ni kipande kilichokatwa toka kwenye statement ambayo alikuwa anaitoa Dr. Slaa, akatolea mfano njia za kuipindua serikali kama ndio extreme, ambapo hakuna popote aliposema ataanzia Dodoma kufanya hivyo kama mleta uzi, muongo mwenzio alivyoandika kule juu kwenye uzi wake.
Nyie ni kundi la wafia dini, wenye chuki binafsi, msio na maana yoyote, miaka yote mmejipambanua kwa huu ujinga wenu.
Asili yako wapi.., labda tuanzie hapo kwanza.Kamvunje Wambura anaewakamata, sisi msituingize kwenye balaa mlilojitengenezea wenyewe.
Wapi hapo niliposema nakidharau?Unakidharau hicho ki clip tu? Uhaini ni kosa ambalo huwepo kabla halijafanyika.
Mkuu, kwenye clip hii ndiyo yote uliyoyaandika ameyasema? Hebu tusaidie full clip tupate hayo maneno uliyoyaandika hapo ili tujadili.
Bila shaka Hawa ni chambo walitangulizwa na wakazama kienyeji enyeji.WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Haya siyo maneno yalo? "Won't hold in a court of..."Wapi hapo niliposema nakidharau?
Haya maneno yote yaliyodukuliwa hapo, yalidukuliwa akiwa wapi? Alikuwa akihojiwa na nani? Na kwa Muktadha gani? Halikadhalika ukisikiliza
Vizuri unasikia kabisa kama Dkt Slaa amekerwa na muuliza maswali, yaani muuliza maswali alikuwa haelewi Dkt alikuwa akimaanisha nini.
Kwa maoni yangu, hiyo clip haina mashiko, labda in the public court na huu uzi ndio kabisaaaaa, ina lengo la kudhalilisha na kumchafua. Its a diversionary tactic aimed at defaming the person involved, ultimately distorting the reality at hand. Which is, IGA ni mbovu. Haiko "proper".
Wekeni Clip Nzima basi tuone!
Weye ndie mwenye shida na Watu weusi. Hao wenzako wazungu unaowasujudu na kuwalamba miguu wanaungua, kuanzia Ulaya, mpaka kule walipo pora Hawaiwatu weusi tunashida sana..
Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
Kwa babangu na mamangu.Asili yako wapi.., labda tuanzie hapo kwanza.
Wanyongwe hata kesho mchana hapo uwanja wa Mkapa. Hakuna mtu anayejitambua atakubaliana na uuzaji wa bandari. Tunataka wanyongwe mapema ili ushujaa na majina yao yabaki kuwa walipigania nchi hii hadi kuuwawa na majizi ya kura.Kama walikua hawatanii basi wasubiri kunyongwa. Uhaini hukumu yake ni kifo
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Babu aliyechanganyikiwa ndio anakutesa hivi?Huenda kuna vikosi keshaviandaa huyo Mzee aseme vizuri.
Majeshi yetu yana nidhamu ya hali yajuu hayawezi kumsikiliza huyu Babu aliyechanganyikiwa.
Kwa hiyo ukiyageuza kuwa ya kiswahili, yanasomeka 'Nakidharau Video?'Haya siyo maneno yalo? "Won't hold in a court of..."
Hicho ndio kinatakiwa ili hiki chama cha majizi kitoke madarakani. Baada ya hapo nchi yetu itaanza upya tukiwa tunaheshimiana.Mapinduzi yatageuka vita vya udini ukabila hakuna atakaeshinda
Nyuma ya keyboard?Wanyongwe hata kesho mchana hapo uwanja wa Mkapa. Hakuna mtu anayejitambua atakubaliana na uuzaji wa bandari. Tunataka wanyongwe mapema ili ushujaa na majina yao yabaki kuwa walipigania nchi hii hadi kuuwawa na majizi ya kura.
Kama ni hivyo bora kibaki kuliko vita vya wenyewe kwa wenyeweHicho ndio kinatakiwa ili hiki chama cha majizi kitoke madarakani. Baada ya hapo nchi yetu itaanza upya tukiwa tunaheshimiana.