Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Kwanza, karibu jamvini baada ya kupotea miaka mingi sana.

Tunatumai u mzima wa afya tele.

Swali lako ni zuri sana na la kina, binafsi ntadonoa kidogo kidogo huku nikitazama hali ya hewa.
Wote mlipotea kipindi Cha mwendazake
 
Wewe ni mjinga kama wenzako, mmejaza maneno ya uongo yasiyoendana na kile alichosema Dr. Slaa.
Tuwekee sasa wewe original clip tuione badala ya kutokwa povu kama mgonjwa wa kifafa,mimi binafsi nataka kuiona tu hiyo og clip.
 
Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.
Hayo maneno ya dk. Slaa unayosema tuyajadili yako wapi?
 
Hii video nimeshaitazama toka mwanzo, kwanza ni kipande kilichokatwa toka kwenye statement ambayo alikuwa anaitoa Dr. Slaa, akatolea mfano njia za kuipindua serikali kama ndio extreme, ambapo hakuna popote aliposema ataanzia Dodoma kufanya hivyo kama mleta uzi, muongo mwenzio alivyoandika kule juu kwenye uzi wake.

Nyie ni kundi la wafia dini, wenye chuki binafsi, msio na maana yoyote, miaka yote mmejipambanua kwa huu ujinga wenu.
We tukana kwa raha zako
Sisi tunasubiri huyu mhalifu.
Mi najua wewe ni mmoja ktk wale wana kondoo ambao hata ukiona mchungaji anazini lzm ujilazimishe kuamini kuwa anatoa pepo.

Subiri atiwe adabu
 
Unakidharau hicho ki clip tu? Uhaini ni kosa ambalo huwepo kabla halijafanyika.
Wapi hapo niliposema nakidharau?
Haya maneno yote yaliyodukuliwa hapo, yalidukuliwa akiwa wapi? Alikuwa akihojiwa na nani? Na kwa Muktadha gani? Halikadhalika ukisikiliza
Vizuri unasikia kabisa kama Dkt Slaa amekerwa na muuliza maswali, yaani muuliza maswali alikuwa haelewi Dkt alikuwa akimaanisha nini.
Kwa maoni yangu, hiyo clip haina mashiko, labda in the public court na huu uzi ndio kabisaaaaa, ina lengo la kudhalilisha na kumchafua. Its a diversionary tactic aimed at defaming the person involved, ultimately distorting the reality at hand. Which is, IGA ni mbovu. Haiko "proper".

Wekeni Clip Nzima basi tuone!
 
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"

"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"

"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Bila shaka Hawa ni chambo walitangulizwa na wakazama kienyeji enyeji.

Washughulikiwe haraka sana
 
Ritz naona umerudi kwa kasi

Dr. Slaa aliongea lini haya maneno? Clip iko wapi?
 
Wapi hapo niliposema nakidharau?
Haya maneno yote yaliyodukuliwa hapo, yalidukuliwa akiwa wapi? Alikuwa akihojiwa na nani? Na kwa Muktadha gani? Halikadhalika ukisikiliza
Vizuri unasikia kabisa kama Dkt Slaa amekerwa na muuliza maswali, yaani muuliza maswali alikuwa haelewi Dkt alikuwa akimaanisha nini.
Kwa maoni yangu, hiyo clip haina mashiko, labda in the public court na huu uzi ndio kabisaaaaa, ina lengo la kudhalilisha na kumchafua. Its a diversionary tactic aimed at defaming the person involved, ultimately distorting the reality at hand. Which is, IGA ni mbovu. Haiko "proper".

Wekeni Clip Nzima basi tuone!
Haya siyo maneno yalo? "Won't hold in a court of..."
 
watu weusi tunashida sana..

Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
Weye ndie mwenye shida na Watu weusi. Hao wenzako wazungu unaowasujudu na kuwalamba miguu wanaungua, kuanzia Ulaya, mpaka kule walipo pora Hawai

Bila ya kujali hayo juu, tupo pamoja kwenye Ulindwaji wa Rasilimali za Nchi.
 
Kama walikua hawatanii basi wasubiri kunyongwa. Uhaini hukumu yake ni kifo

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wanyongwe hata kesho mchana hapo uwanja wa Mkapa. Hakuna mtu anayejitambua atakubaliana na uuzaji wa bandari. Tunataka wanyongwe mapema ili ushujaa na majina yao yabaki kuwa walipigania nchi hii hadi kuuwawa na majizi ya kura.
 
Huenda kuna vikosi keshaviandaa huyo Mzee aseme vizuri.
Majeshi yetu yana nidhamu ya hali yajuu hayawezi kumsikiliza huyu Babu aliyechanganyikiwa.
Babu aliyechanganyikiwa ndio anakutesa hivi?
Mara ana Vikosi, mara hasikilwizi? Lipi ni lipi?
 
Mapinduzi yatageuka vita vya udini ukabila hakuna atakaeshinda
Hicho ndio kinatakiwa ili hiki chama cha majizi kitoke madarakani. Baada ya hapo nchi yetu itaanza upya tukiwa tunaheshimiana.
 
Wanyongwe hata kesho mchana hapo uwanja wa Mkapa. Hakuna mtu anayejitambua atakubaliana na uuzaji wa bandari. Tunataka wanyongwe mapema ili ushujaa na majina yao yabaki kuwa walipigania nchi hii hadi kuuwawa na majizi ya kura.
Nyuma ya keyboard?

Kuwa Shujaa kama Mdude. Jitokeze, Wambura na vijana wake yupo.

Kwi kwi kwi.
 
Hicho ndio kinatakiwa ili hiki chama cha majizi kitoke madarakani. Baada ya hapo nchi yetu itaanza upya tukiwa tunaheshimiana.
Kama ni hivyo bora kibaki kuliko vita vya wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom