Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Mpk sasa serikal haijajibu swali lolote la wakosoaji , wanajibu maswali yao wenyew , ila hawawez sema mkataba wa muda gan
Upo dunia hii?

Kaisome hukumu iliyotolewa mahakamani.
 
Unachanganya maelezo! Je,hukumu hiyo hutekelezwa na nani!?
 
- Mwabukusi bado ni Wakili,ameshitakiwa tu kwenye Kamati ya Mawakili,hajakutwa na hatia.
-
That's is out of this thread.
Hapa tunajadili huyu mhalifu Dr Slaa . Huyu lzm akamatwe na mwisho ni Kunyongwa.
Ukitaka kujifunza kitu kutoka kwangu anzisha uzi kisha nialike tujadili hayo maswali yako.
Ahsantaa
-mbona umeogopa kutaja sheria unazozijua

- hii haiko nje ya mada ulijinasibu kuwa unajua sheria since vita ya Kagera
-inshort hujui sheria yoyote.
 
Babu kaukalia teh teh sasa itakuwa Babu na mtondoo mtondoo na Babu.

Sisi yetu macho tu
 
Unachanganya maelezo! Je,hukumu hiyo hutekelezwa na nani!?
Labda nikusaidie tena.
TANZANIA HUKUMU ZOTE ZINATOLEWA NA HAKIMU WA MAHAKAMA.
iwe hukumu ya kulipa faini ya elf 1 au hukumu ya KIFO.
zote zinatolewa na Hakimu .
Tofauti inakuwa ni mahakama gani inatoa hukumu gani.
 
Labda nikusaidie tena.
TANZANIA HUKUMU ZOTE ZINATOLEWA NA HAKIMU WA MAHAKAMA.
iwe hukumu ya kulipa faini ya elf 1 au hukumu ya KIFO.
zote zinatolewa na Hakimu .
Tofauti inakuwa ni mahakama gani inatoa hukumu gani.
-hukumu ya kunyongwa inatolewa na Jaji au hakimu aliyeongezewa mamlaka
-na sio hukumu zote zinatolewa na mahakimu
 
Upo dunia hii?

Kaisome hukumu iliyotolewa mahakamani.
Kwamba muda wa mkataba umetajwa na mahakama? hv madai ya muda wa mkataba yalianza tajwa baada ya kesi au hata kabla ya kesi? Je kuna hata mmoja either wa ccmu au serikali au bunge waliojib?
 
Mkuu wa majeshi
 
- ndio ujue hujui kitu
Fools have a fixed mindset
They always bring up stupid logic to support their theory
Despite what you mention or say, they will always try to bring you down to their playing field
They believe their ways to be correct, and they are the only ways that will work for anyone
They are never open to new ideas
They will go to any level to prove their point.
Good day nicompoop
 
Yaani wewe umeamua kukata kakipande haka tu ili ku justify uhaini wa Dr Slaa?

Mazungumzo yake yote kuanzia mwanzo mpaka hapo yako wapi ili tupate mantiki ya hoja yote?
Nadhani ni Star TV
 
Acheni upumbavu. Hayo maneno kayatamka au kuyaandika mtandao gani? Au wewe ni Kingai kuanza kulisha watu uongo mpuuzi wewe!! Watakuamini wapuuzi wenzio.
 
Mnatunga uongo wa kihinga kama uleule wa siku zote , lakini mtadhalilika tu
Shujaa wa nyuma ya keyboard upo? Itisha maandamano ya kupinga kina Mdude kukamatwa. Ila wewe na kikundi kidogo cha Mbowe ndani ya CHADEMA huwa ni wajanja hamwendi front kizembe kama Mdude. Sasa hivi mko makwenu mnajilambia asali wakati Mdude akipigwa baridi kwenye sakafu za mahabusu.
 
Nimepata habari kuwa Mdude na Mwambukusi wako hoi kwa sababu ya kugoma kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…