FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Upo dunia hii?Mpk sasa serikal haijajibu swali lolote la wakosoaji , wanajibu maswali yao wenyew , ila hawawez sema mkataba wa muda gan
Kaisome hukumu iliyotolewa mahakamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo dunia hii?Mpk sasa serikal haijajibu swali lolote la wakosoaji , wanajibu maswali yao wenyew , ila hawawez sema mkataba wa muda gan
Unachanganya maelezo! Je,hukumu hiyo hutekelezwa na nani!?Ndio nikasema jifunze sheria kwanza kabla ya kuja hapa kujadili masuala ya sheria
Anaehukumiwa kifo anawekwa MAHABUSU kusubiri siku yake ya kunyongwa.
Jela anapelekwa mtu ambae amehukumiwa kifungo cha muda flani.
Iwe mwaka au maisha.
Na hizo mahabusu mara nyinginr zinakuwa humo humo kwenye ukuta wa jela.
Nadhani leo utakuwa umejifunza kitu hapa.
- Mwabukusi bado ni Wakili,ameshitakiwa tu kwenye Kamati ya Mawakili,hajakutwa na hatia.Mwakubusi ameyatimba, kafutwa uwakili, kajieka kwenye matatizo makubwa, hivi angetulia zake maishtia yaende kama na hela anayo angepungukiwa nn? 😂😂, Hivi nikifiria jinsi kuwa wakili ilivyokuwa ngumu, Yani upige vizuri advance, chuo uishone kwelikweli, school of law ule mtihani wao mgumu kumeza utoboe, bado uchaguliwe na judge mkuu, uoneshe juhudi uwe wakili, af kisa mambo ya serikali ufutwe uwakili...dooh!!
-mbona umeogopa kutaja sheria unazozijuaThat's is out of this thread.
Hapa tunajadili huyu mhalifu Dr Slaa . Huyu lzm akamatwe na mwisho ni Kunyongwa.
Ukitaka kujifunza kitu kutoka kwangu anzisha uzi kisha nialike tujadili hayo maswali yako.
Ahsantaa
Labda nikusaidie tena.Unachanganya maelezo! Je,hukumu hiyo hutekelezwa na nani!?
-hukumu ya kunyongwa inatolewa na Jaji au hakimu aliyeongezewa mamlakaLabda nikusaidie tena.
TANZANIA HUKUMU ZOTE ZINATOLEWA NA HAKIMU WA MAHAKAMA.
iwe hukumu ya kulipa faini ya elf 1 au hukumu ya KIFO.
zote zinatolewa na Hakimu .
Tofauti inakuwa ni mahakama gani inatoa hukumu gani.
Kwamba muda wa mkataba umetajwa na mahakama? hv madai ya muda wa mkataba yalianza tajwa baada ya kesi au hata kabla ya kesi? Je kuna hata mmoja either wa ccmu au serikali au bunge waliojib?Upo dunia hii?
Kaisome hukumu iliyotolewa mahakamani.
🤣🤣-hukumu ya kunyongwa inatolewa na Jaji au hakimu aliyeongezewa mamlaka
-na sio hukumu zote zinatolewa na mahakimu
Yaani wewe umeamua kukata kakipande haka tu ili ku justify uhaini wa Dr Slaa?View attachment 2718158
Babu mtondoo ataubeba sana
- ndio ujue hujui kitu🤣🤣
Hapa tutakesha.
Umeshinda maganga
Mchana mwema
Mkuu wa majeshiWANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Fools have a fixed mindset- ndio ujue hujui kitu
Wametengeneza kama yale ya RAU MADUKANI , ukiona hawa akina Ritz kutoka Maamur Upanga wakileta nyuzi humu jiongezeNi kweli alitamka haya maneno Balozi Slaa?
Nadhani ni Star TVYaani wewe umeamua kukata kakipande haka tu ili ku justify uhaini wa Dr Slaa?
Mazungumzo yake yote kuanzia mwanzo mpaka hapo yako wapi ili tupate mantiki ya hoja yote?
Acheni upumbavu. Hayo maneno kayatamka au kuyaandika mtandao gani? Au wewe ni Kingai kuanza kulisha watu uongo mpuuzi wewe!! Watakuamini wapuuzi wenzio.WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Shujaa wa nyuma ya keyboard upo? Itisha maandamano ya kupinga kina Mdude kukamatwa. Ila wewe na kikundi kidogo cha Mbowe ndani ya CHADEMA huwa ni wajanja hamwendi front kizembe kama Mdude. Sasa hivi mko makwenu mnajilambia asali wakati Mdude akipigwa baridi kwenye sakafu za mahabusu.Mnatunga uongo wa kihinga kama uleule wa siku zote , lakini mtadhalilika tu
Wakifa, Rais Samia Suluhu Hassan lazima awaumbe wengine wanaofanana na hao..!Nimepata habari kuwa Mdude na Mwambukusi wako hoi kwa sababu ya kugoma kula