Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Watu hawa bwana wanajitutumua ukiwagusa tu kelele kibao wanahitaji huruma ya watu kazi IPO.
 
Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.

Mahakama imetoa majibu au imefuata maelekezo?
 
Ndio kilicho salia kama Niger mnaishangilia kila uchao hapa itashindikana vipi? Maana njia za kidipromasia zimeshindwa...na humu watu wanao mpinga bi tozo wanatamani Mungu aamue maana yake nini?
 
Mahakama imetoa majibu au imefuata maelekezo?
ΒΆΒΆMahakama ilipotoa uamuzi ilitoa na sababu kwa kila hoja,,, sasa wewe unaesema imefuata maelekezo tupe ushahidi wako..
 
ΒΆΒΆMahakama ilipotoa uamuzi ilitoa na sababu kwa kila hoja,,, sasa wewe unaesema imefuata maelekezo tupe ushahidi wako..
Si rufaa ipo wazi? Au majaji wameifunga rufaa?
 
Hii nchi ilishawahi kunyonga wangapi kwanza tuanzie hapo, au ndio waanze na akina mdude?
 
The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa

Kwa hii kauli Dr Slaa anaweza kuchezea Kitanzi
Ukishakuwa mzee na ukawa na stress usikubali kuhojiwa na baadhi ya wale watu wanaojua kusoma saikolojia ya wanayemhoji ! Watakupiga swali kali utachanganyikiwa na utajibu utumbo kabisa bila kujijua πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™

Unakumbuka mzee Makamba alivyokuwa akijibu kwa hasira huku akimpiga mwandishi kifuani kama vile anapiga mwanaye ?!! Ule ni Uzee + stress πŸ˜…πŸ™
 
Duh πŸ™„ mimi naona kwanza angepelekwa Hospitali akapimwe inawezekana something wrong upstairs ! Hayo maneno sio ya kutamkwa na mtu kama Dr Slaa !
 
Mbona mnamlisha maneno Dr Slaa? Hivi jamii check imekufa? Inakuaje fake news zinaachwa tu kuleta mis information?

Cc JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…