kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wametest kumpa fisi kiganja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.
Mpaka na viambatisho vyake- umesoma mkataba wa Bandari?
TIKS mama TIKSI hiyo. Wapo wengi.Mimi nahisi Anna Tibaijuka 6upo behind the scenes ya hii kadhia. Maana anaongea mpaka anatukana.
Cc Mama ammon
¶¶Mahakama ilipotoa uamuzi ilitoa na sababu kwa kila hoja,,, sasa wewe unaesema imefuata maelekezo tupe ushahidi wako..Mahakama imetoa majibu au imefuata maelekezo?
Si rufaa ipo wazi? Au majaji wameifunga rufaa?¶¶Mahakama ilipotoa uamuzi ilitoa na sababu kwa kila hoja,,, sasa wewe unaesema imefuata maelekezo tupe ushahidi wako..
Hii nchi ilishawahi kunyonga wangapi kwanza tuanzie hapo, au ndio waanze na akina mdude?
- kwa akili Yako ndogo, umeonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu.
- Dr slaa hawezi kunyongwa haraka kwa sababu, anayo haki ya kujitetea na kujibu tuhuma zinazomkabili, hawezi kunyongwa haraka haraka kama unavyofikiri kwa akili Yako ndogo
- Tena anayo haki ya kutetewa na Wakili/Mawakili, ana haki ya kukata rufaa Mahakama ya rufaa, na hata asiporidhishwa na uamuzi wa Mahakama ya rufaa anaweza kuomba Marejeo/Review
Hayo huamuliwa mahakamani, ndiyo maana tuna mahakama.Hii nchi ilishawahi kunyonga wangapi kwanza tuanzie hapo, au ndio waanze na akina mdude?
Jaribu utamu wa KitimotoWengine hawaelewi kwanini pombe ni haramu.
Kwa maana hiyo hizo sekunde 9 ndizo alizoongea pekee au ndio kama kawaida yenu ya kukatakata vipande na kusikiliza kinachowafurahisha na mnachotaka kukisikia ili iwe kheir kwenu?
Tatizo hatuna Majaji. Tuna MajajiCCMSi rufaa ipo wazi? Au majaji wameifunga rufaa?
Kwani ulilazimishwa kuichaguwa CCM wakati wa kura?Tatizo hatuna Majaji. Tuna MajajiCCM
Ukishakuwa mzee na ukawa na stress usikubali kuhojiwa na baadhi ya wale watu wanaojua kusoma saikolojia ya wanayemhoji ! Watakupiga swali kali utachanganyikiwa na utajibu utumbo kabisa bila kujijua 😅😅🙏🙏The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa
Kwa hii kauli Dr Slaa anaweza kuchezea Kitanzi
Itakuwa mda wa kusaini zile Giro za incapacity benefits zimefika kwa hiyo lazima aende au zinakatwa
Duh 🙄 mimi naona kwanza angepelekwa Hospitali akapimwe inawezekana something wrong upstairs ! Hayo maneno sio ya kutamkwa na mtu kama Dr Slaa !Hii maana yake nini:
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
Mbona mnamlisha maneno Dr Slaa? Hivi jamii check imekufa? Inakuaje fake news zinaachwa tu kuleta mis information?WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"