Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Watu hawa bwana wanajitutumua ukiwagusa tu kelele kibao wanahitaji huruma ya watu kazi IPO.
 
Hamna uhusiano na watu weusi hii kesi mbona mahakama imeishatoa majibu, jadili maneno ya Dr Slaa, usiwasingizie watu weusi, juzi Marekani kuna mtu kakamatwa katishia kumpindua Rais.

Mahakama imetoa majibu au imefuata maelekezo?
 
Ndio kilicho salia kama Niger mnaishangilia kila uchao hapa itashindikana vipi? Maana njia za kidipromasia zimeshindwa...na humu watu wanao mpinga bi tozo wanatamani Mungu aamue maana yake nini?
 
  • kwa akili Yako ndogo, umeonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu.
  • Dr slaa hawezi kunyongwa haraka kwa sababu, anayo haki ya kujitetea na kujibu tuhuma zinazomkabili, hawezi kunyongwa haraka haraka kama unavyofikiri kwa akili Yako ndogo
  • Tena anayo haki ya kutetewa na Wakili/Mawakili, ana haki ya kukata rufaa Mahakama ya rufaa, na hata asiporidhishwa na uamuzi wa Mahakama ya rufaa anaweza kuomba Marejeo/Review
Hii nchi ilishawahi kunyonga wangapi kwanza tuanzie hapo, au ndio waanze na akina mdude?
 
The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa

Kwa hii kauli Dr Slaa anaweza kuchezea Kitanzi
Ukishakuwa mzee na ukawa na stress usikubali kuhojiwa na baadhi ya wale watu wanaojua kusoma saikolojia ya wanayemhoji ! Watakupiga swali kali utachanganyikiwa na utajibu utumbo kabisa bila kujijua 😅😅🙏🙏

Unakumbuka mzee Makamba alivyokuwa akijibu kwa hasira huku akimpiga mwandishi kifuani kama vile anapiga mwanaye ?!! Ule ni Uzee + stress 😅🙏
 
Hii maana yake nini:

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
Duh 🙄 mimi naona kwanza angepelekwa Hospitali akapimwe inawezekana something wrong upstairs ! Hayo maneno sio ya kutamkwa na mtu kama Dr Slaa !
 
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"

"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"

"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Mbona mnamlisha maneno Dr Slaa? Hivi jamii check imekufa? Inakuaje fake news zinaachwa tu kuleta mis information?

Cc JamiiForums
 
Back
Top Bottom