Daaa, ila hii nchi kuna kitu kinaanza taratibu and ni muda tu tutapoteana hata humu jamvini.Itakuwa ni zile hoja zake za kutafuta cheap popularity baada ya kufukuzwa Ubalozi
Na Mungu ni wa ajabu sana yaani, ametupa akili alafu ametupatia usahaurifu
Wapo watu ambao husahau kabisa kwamba ipo siku tutaondoka hapa duniani !!Daaa, ila hii nchi kuna kitu kinaanza taratibu and ni muda tu tutapoteana hata humu jamvini.
Waswahili wanasema hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho.
Na Mungu ni wa ajabu sana yaani, ametupa akili alafu ametupatia usahaurifu, mfano ni Nape yaani hajui kama kuna siku atakuwa nje ya system.
Baada ya maamuzi ya shauri hilo, Mwabukusi alisema atafanya kitu gani? Mbona vitu viko wazi tu kama vazi la kahaba!!?Anapinga baadhi ya vipengele vya Mkataba lakini Mahkama tayari imeshatoa maamuzi kama hamjaridhika na maamuzi ya Mahkama kateni Rufaa
Karne hii unahubiri ukanda? Mbona hao CCM wanawaua waislam wenzako huko Zanzibar kisa kulinda madaraka Yao! kwani mwenyekiti wa CCM ni mchagga? Shetani Hana kabila Wala ukanda ndio maana Mama Samia Sio mchagga ila serikali imejaa mafisadi Kila idara.Hatuwezi kuongozwa na mtu wa kasikazini kaka.
Ndio nikasema hapo juu kuwa mimi CCM kwangu ni balaa na mtihani tu Mungu aliotupa hapa Tz ila kwa ujumla wake CCM imeweza kufanikiwa kutuliza fujo kwa miaka mingi. Dhulma wanazofanyiwa waislamu na wasiokuwa waislamu hazijaanza leo.Karne hii unahubiri ukanda? Mbona hao CCM wanawaua waislam wenzako huko Zanzibar kisa kulinda madaraka Yao! kwani mwenyekiti wa CCM ni mchagga? Shetani Hana kabila Wala ukanda ndio maana Mama Samia Sio mchagga ila serikali imejaa mafisadi Kila idara.
Ikiwemo masheikh wa uamsho na wale wa kule Arusha na Mtwara waliopewa kesi za ugaidi? Are you serious? Unafurahia serikali kutumia mabavu kuminya haki? You can put people in check using public relations stunts sio violence.Kitu kikubwa CCM walichofanikiwa mpk leo ni to put people in check.
For using all means necessary.
Wewe hata ukipiga uchawa namna gani huwezi kufikia hata 10% ya aliyofanya Dr SlaaShujaa kadata , usiku ,mchana yuko kwenye vyombo vya habari anaongea yeye tu, Ubalozi ulikuwa mtamu , kuukosa ni hasara kubwa kwake . Njaa imemtoa akili
Nadhani toka nimeanza kujadili na wewe bado hujanielewa.Ikiwemo masheikh wa uamsho na wale wa kule Arusha na Mtwara waliopewa kesi za ugaidi? Are you serious? Unafurahia serikali kutumia mabavu kuminya haki? You can put people in check using public relations stunts sio violence.
Unasema Quran ndio katiba Yako unasahau hao hao CCM mara ngapi wamekandamiza waislam nchi hii tokea uhuru? Je hao ndio waku support? Hivi si ndio walisema hawawezi ruhusu Zanzibar ijitoe muungano kisa itakua Taifa la kiislam? Hivi unajua CCM iliua waislam wangapi huko Kibiti na Mtwara?
So sad kuona muislam ku support CCM wakati haijawahi pigania maslahi yenu tokea uhuru. Pia huwezi kuwa muislam safi alafu ukapinga haki? Nchi za kiarabu ni za kiislam 100% ila ndio zinaongoza kwa kupinduana na extremism Ili kupigania haki zao. Cha ajabu muislam aliyepo Tanzania anaona watu kupigania haki zao tena wasio na silaha, eti wapo violent.
Are we serious?
Hivi ni kweli huyu Padri alitamka maneno haya!WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Serious fabrication. Sasa tumewajua adui wa nchi hii. Basi mtuachie Bandari zetu kuliko kutuchoma macho kwa vidole namna hii.WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipunseriousdua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Dah hii kesi itaenda kuwa tamu sana. Sasa ushahidi kama hizo ni sauti zao utathibitishwa kisayansi au?Isikilize na hii👇
View attachment 2718933
Tuilinde AMANI yetu kwa gharama yoyoteDah hii kesi itaenda kuwa tamu sana. Sasa ushahidi kama hizo ni sauti zao utathibitishwa kisayansi au?
Kwan Hali ya hewa, ipoje au manyunyu yameanza kunyunyiza?Kwanza, karibu jamvini baada ya kupotea miaka mingi sana.
Tunatumai u mzima wa afya tele.
Swali lako ni zuri sana na la kina, binafsi ntadonoa kidogo kidogo huku nikitazama hali ya hewa.