Tusipinge kwa vile tunaichukia CCM. Kama ni watu tunaopenda ukweli tusimamie ukweli.Yaani na wewe unaingizwa king na AIGIPI Wambura? Unajua kumpindua Rais ilivyo? Hivi kwa akili yako Mdude,Mwabukusi na Slaa wanaweza kupanga kumpindua Rais hata akiwa nyuma ya huyo Mtu?
Weka link. Kama huwezi wachana nayo, yaliyowekwa haoa yanatosha kabisa, wakili yoyote kuamuwa wana kesi ya kujibu.Ile aliyofanya wakati wanatoa tamko la Samia kukabidhi sovereignty yetu kwa magaidi wa kiarabu. Itafute Youtube.
Kumpindua Rais siyo kitu rahisi kama kupindua Sahani iliyojaa Makange ya Kitimoto. Kuweni serious sometimesWANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Tukubaliane nawe, maadamu hii wameikata basi tuletee isiyokatwa ili tujadili kwa haki.Usiwe kama mjinga wewe. Wamekata clip. Hii ni press aliyoitoa hadharani na alikuwa anazungumzia jambi jingine kabisa.
Huyu Mzee katumwa aje aharibu mijadala ya Bandari kaja na hoja za kupendekeza Mapinduzi.Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu
Nenda Youtube. Kama hukusikiliza ile press yake muhimu sana basi wewe hufai kujadili chochote kuhusu hili suala.Tukubaliane nawe, maadamu hii wameikata basi tuletee isiyokatwa ili tujadili kwa haki.
Hizo kauli zinaonesha wamejipanga Tanzania nzima.WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Tusipinge kwa vile tunaichukia CCM. Kama ni watu tunaopenda ukweli tusimamie ukweli.
Kauli walizozitoa kwa serikali iliyo madarakani iwe tunaipenda au laa ni kauli za kiuchochezi! Hatukatai kuna changamoto kwenye mkataba lakini kauli walizozitoa ni za gharama sana!
Vipi kama Chadema ingelishika madaraka halafu mwana CCM atamka maneno hayo serikali iliyomo madarakani ingelichukua hatua gani?
Wanachi hata Mbowe walimkataa, alitembea nchi nx8ma kuomba kura, akabwagwa vibaya sana na Kikwete kwa kura 80%, akaja Slaa na yeye akatembea nchi nzima akabwagwa vibaya sana.Tutolee akili finyu za funza.... Mmetembea Nchi nzima kuupigia debe Mkataba wananchi tumewakataa... Maviii nyie
Na ndiyo lengo la mama Abdul. Ameogopa hoja walizokuwa wanampiga kuhusu mkataba akaona atumie dola ili kunyamazisha mjadala. Hapa hata ungekuwa kilaza kama mama Abdul unajua kabisa hakuna kesi ila ni kukomoa.Weka link. Kama huwezi wachana nayo, yaliyowekwa haoa yanatosha kabisa, wakili yoyote kuamuwa wana kesi ya kujibu.
Watadunda nenda rdi mahabusu na mahakamani mpaka uchunguzi ukamilike.
Sasa si unipatie link?!Nenda Youtube. Kama hukusikiliza ile press yake muhimu sana basi wewe hufai kujadili chochote kuhusu hili suala.
Fanya maendeleo yako sasa. Hapa unafanya nini?Sasa si unipatie link?!
Mapungufu yangu niachie mwenyewe muhimu nipatie link.
Ukumbuke hauzungumzi na mfuasi wa vyama vya siasa! Mimi sina muda na vyama, nina muda na maendeleo.
Tuoneshe lini na wapi kuna kauli zingine za kisiasa kama hizo.Hizo ni kauli tu za wanasiasa hazina impact yeyote,wanasiasa wanatoa kauli nyingi za uchochezi lakini hawajafikia hatua ya kuitwa wahaini....Kumpa mtu kesi ya uhaini aua uhujumu uchumi ni uoga tu wa serikali wa kutaka kumyamazisha.
Kawe wakili wake dadaHata kama mimi siyo mwanasheria, maneno aliyozungumza Dk.Slaa hayatoshi kumtia hatiani kwa kosa la uhaini, ilikuwa lazima Polisi wawe wameona viashiria au kuna njama kweli za kuipindua serikali.
Ni afadhari hata angeshitakiwa kwa kosa la uchochezi hapo kidogo kesi hiyo ingekuwa na maana.
Nafikiria mfano mtu akisema nitakuua! Sidhani kama anaweza kushitakiwa kwa kosa la mauaji kama hajatekeleza mauaji hayo au hakuna mazingira yanayothibitisha kwamba kweli anaweza kuua.
Labda wanasheria watusaidie katika hili.
ndio ukamtetee mahakamaniMzee Mohamed Said acha propaganda zako. Kupindua nchi hakufanyiki kwa maneno!
Sasa Mkuu unatishia kuiondoa madarakani serikali ya mwenzako imma uwe na nguvu au usiwe na nguvu unategemea atakufanya nini? Tutumie logic tu unafikiri atakufanya nini?Hizo ni kauli tu za wanasiasa hazina impact yeyote,wanasiasa wanatoa kauli nyingi za uchochezi lakini hawajafikia hatua ya kuitwa wahaini....Kumpa mtu kesi ya uhaini aua uhujumu uchumi ni uoga tu wa serikali wa kutaka kumyamazisha.