Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
ZipoWaongeze ulinzi wa teknolojia, mpaka ulindwe hata na drones kama hali imekuwa mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZipoWaongeze ulinzi wa teknolojia, mpaka ulindwe hata na drones kama hali imekuwa mbaya sana
Bila kumsahau yule mzee anayejitapa kuandika upya historia ya TanganyikaUnaposema hali haitabiriki maana yake tayari wamo ndani mwako unahofia ukishusha mguu nyoka anakugonga tokea chini ya sofa au kitanda. Wasicheke na nyani wasije vuna mabua.
Operation iwe kali kama kule kibiti/mkuranga
Lord denning
FaizaFoxy
Sir John Roberts
Ritz
Na ansar sunnah wote walioko humu
Mipango na mbinu zote kabla ya kwenda misituni huanzia kwenye misikiti ama vyuo vya kidini,kipindi cha mauaji ya kibiti walikua na kambi ya silaha moja kati ya misikiti rufiji,isingekua inteligensia ya kunasa mmoja mmoja ingekua ngumu sana kuimaliza yale mauaji.Magaidi wa Msumbiji wapo msituni wanavamia vijijiji na kuua raia au ukipita na gari wanakuzuia na kukuteka huko...wiki kadhaa zilizopita wamevamia baadhi ya vijiji huko Msumbiji ndio maana Waziri katoa kauli hii..
Hakuna haja ya kupeleka mahakamani gaidi,watakuja wale symphasizer kuanza kupiga kelele mitandaoni na kuchochea chuki zaidi,we dont negotiate with magaidi,we send them to hell.Hapo jwtz na tiss watumie mbinu zote kuzuia magaidi kuingia, na waliopo wasakwe na kupotezwa.
Unawaamini jeshi la m7 katika hilo,au hujui m23 kazi yake nini? Huko kongoKwahiyo wale Askari wa Rwanda wameshindwa kazi ?
Kupigana na ugadi sio silaha au mabomu,ni mbinu za kiitelijensia,mbaya zaidi kukiwa na symphaziser kwenye jeshi lako.Kibiti tuliwapa ambush ya kutosha naona Msumbiji wanawalea
Umeandika Nini???Southern Tanzania, ni chini ya 1000km to Dar es salaam na unahitaji kuvuka mikoa miwili kufikia Dar es salaam, Mtwara na Lindi ni Miji ya Bandari.
RPF wako huko pia lakini pia kuna investment za Ufaransa huko.
Hizi sio project za week na siku mbili hapana bali ni projects za muda mrefu kwa watu wenye mipango ya muda mrefu.
M23 in DRC wako busy kidogo na wametuweka busy kidogo huko while RPF wako kusini wakilinda amani.
Nimekumbuka war of the midway, Japs Vs Yankees pale Pacific, initial fake punch ya Japs ilikuwa attacking America from Alaska.
Adui yuko mlangoni.
"I will hit at the right time and place".
Project no ________.
Huhitaji kuwa code cracker au senior officer kuelewa, bila shaka imeeleweka.
Askari wa Rwanda walienda msumbiji kupambana na magaidi baada ya kuombwa na serikali ya msumbiji .Unawaamini jeshi la m7 katika hilo,au hujui m23 kazi yake nini? Huko kongo
Pamoja na intelijensia imalishwe maana magaidi tunaishi nao bila kuwajuaWaongeze ulinzi wa teknolojia, mpaka ulindwe hata na drones kama hali imekuwa mbaya sana
Nyumba za Ibada zote zinatakiwa ziwe na mtu wa usalama. Asiye mwana Dini.Mipango na mbinu zote kabla ya kwenda misituni huanzia kwenye misikiti ama vyuo vya kidini,kipindi cha mauaji ya kibiti walikua na kambi ya silaha moja kati ya misikiti rufiji,isingekua inteligensia ya kunasa mmoja mmoja ingekua ngumu sana kuimaliza yale mauaji.
Nakuomba umtambulishe bro kama mjomba wako halafu wakubalie wasikudhuru. Ni ushauri tu🏃♂️🏃♂️Kaa mkao wa kula uandae mapanga shaaa lo magaidi wakituvamia tu 👊🕺
RPF fake punch , umeleweka comrade sasa sisi Kama nchi ushauri wako please.