Dkt. Stergomena Tax: Hali ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji haitabiriki

Hao wajeshi wanaopiga raia wema si waende huko. Kazi kugombea mademu tu Unakuta mjeshi anakitambi kama yule mimba nyimba za maombolezo/misiba.

Unajiuliza huyu mjeshi VP
 
Bila kumsahau yule mzee anayejitapa kuandika upya historia ya Tanganyika
 
Magaidi wa Msumbiji wapo msituni wanavamia vijijiji na kuua raia au ukipita na gari wanakuzuia na kukuteka huko...wiki kadhaa zilizopita wamevamia baadhi ya vijiji huko Msumbiji ndio maana Waziri katoa kauli hii..
Mipango na mbinu zote kabla ya kwenda misituni huanzia kwenye misikiti ama vyuo vya kidini,kipindi cha mauaji ya kibiti walikua na kambi ya silaha moja kati ya misikiti rufiji,isingekua inteligensia ya kunasa mmoja mmoja ingekua ngumu sana kuimaliza yale mauaji.
 
Ndio maana wajeda wanapelekwa sana kule Mkenda, kumbe hali haiko vizuri.

Ila msumbiji jaman wale wamesha zoea vita, wananchi wao wanaona kawaida tyuu. Lol
 
Umeandika Nini???
 
Nyumba za Ibada zote zinatakiwa ziwe na mtu wa usalama. Asiye mwana Dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…