Kila km 5 mbele nyuma kushoto na kulia zijengwe police stations Kisha police wantakao kuwa kwenye vituo hivyo wawe ni soldiers walio valia sale za jeshi la police
Na vituo hivyo viwe na siraha za kivita kwa Siri sio Kama zile za kuwatishia wanywa gongo pale uyole kingani