Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
HehehehehKama uislam unaruhusu mtu kula nguruwe kwamana ya suna inakuwaje mziki nao usiwe sehemu ya suna kwakuwa unampa mtu kipato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HehehehehKama uislam unaruhusu mtu kula nguruwe kwamana ya suna inakuwaje mziki nao usiwe sehemu ya suna kwakuwa unampa mtu kipato
[emoji16][emoji16]Wanatumia nguvu nyingi utafikiri jamaa ameua mtu.
Mbona wachawi wanaua, wanatia watu magonjwa, mifaraka n.k lakini hampambani nao na kuwalaani?