Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

Ninashauri kwa wale ambao wakisali hutamka Mungu wa Ibrahim, Shadrak, Meshak na Abednego, wanaweza kuondoa hayo majina na kutamka MUNGU WA MAMA SAMIA kwa sababu hao wengine hatujawaona ila Mama Samia tumemuona jinsi Mungu alivyombariki.
 


Umeeleza vizuri mwanzoni kwamba ni maoni binafsi.

Ila Imani haiongozwi na maono maana kuna maandiko.

Unapokosea ni kutaka viongozi wa dini wawe open minded, wakati kuna maandiko.
 
Hizi dini zilijengwa tokana na mfumo dume ndo maana wengi wakifikiria kuhusu Mungu wanawaza tu ni mwanaume fulani mzee kakaa mahali fulani mbinguni,,,,,,Mungu ni nguvu(roho) hana jinsia na ukija kwenye personification ya hio nguvu inaweza kua mtu yeyote tu mwanamke au mwanaume,,sema dini nyingi hasa hizi zenye asili ya Abraham zimechagua kui personify nguvu ya Mungu kama mwanaume na hii ni kutokana na mfumo dume wa jamii zilipoanzia hizi dini (Patrilinear)
 
Tundu Lissu alivyo shambuliwa kwa risasi mwaka 2017 na kisha aka survive watu wengi walisema ni Mungu ndio alimuokoa. Kama Lissu angeishi in Biblical times huenda leo tungekuwa na Mungu wa Tundu Lissu. Mungu mwenye kuokoa na hatari mbaya.

Ila uache kutetea walevi waliovimbiwa anasa, bora ukae kimya.
Imagin MUNGU ana manyonyo na K na anableed How how, yeye anajiita Baba hivi kuna Baba mwanamke?
 
Swahaba aliuliza"ni mtu gani natakiwa nimfanyie wema zaidi"Mtume akajibu mama.
Swahaba akauliza tena "nani anaefuatia" mtume akasema mama swahaba akauliza tena "kesha nani" mtume akasema mama wa mwisho akauliza swahaba ni nani ndio mtume akamtaja baba.
Usipotoshe maandiko we jamaa.
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'
Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume
Tusiwe watu wenye limited mind...!
Ukitumia biblia na korani kuitaja taswira ya Mungu basi utaona Mungu ni mwanaume sababu vitabu hivyo vimesema binadamu aliyeumbwa kwanza ni mwanaume kwa mfano wa Mungu.

Note:
Sijui taswira ya Mungu.
Nahisi Mungu ni nguvu fulani kubwa ya asili. Inawezakana Mungu hayupo katika muonekano wa mwili wa nyama. Labda ni nishati (energy) fulani.
 
Mungu hajawekewa mipaka kwa maelezo ya vitabuni.
Bali Mungu hana mfanano na binadamu.
Harmonize kakosea sana tena sana.
Mungu ama sifa ya Uungu ni sifa ya UKAMILIFU isiyokua na mapungufu wala kasoro.
Mwanamke ni binadamu na ni kiumbe chenye makosa ama madhaifu kivitendo na akili.
MUNGU HANA MADHAIFU UTAMFANANISHAJE NA KIUMBE CHENYE MADHAIFU!?
AMEKOSEA SANA HARMONIZE.
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'
Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume
Tusiwe watu wenye limited mind...!
Labda kwa ukristo ndio mwanadamu kaumbwa kwa mfanano wa Mungu.
ILa kiislam Mungu ama Uungu hauna ufanano na kitu wala kiumbe yeyote.
Mungu ama Uungu ukishakuwa na mfanano tu basi sifa ya upekee imeshakufa.
Binadamu ni kiumbe dhaifu chenye makosa mathalan wewe mtoto wa kike.
Utamfananishaje Mungu na kiumbe dhaifu chenye makosa kama wewe!!??
 
Kama uislam unaruhusu mtu kula nguruwe kwamana ya suna inakuwaje mziki nao usiwe sehemu ya suna kwakuwa unampa mtu kipato
Nguruwe uislam hakuna sunna ya kula nguruwe noo hell noo you are wrongly informed.
Muislam anaruhusiwa kula nguruwe au mzoga yan mnyama mfu kama kuna balaa njaa na hakuna vyakula vingine.
Mfano upo sehemu kuna balaa njaa na hakuna vyakula vingine ukaona mzoga ama ukaona nguruwe ruhusa kula ili ujiokoe na kifo cha njaa.
Ila tofauti na hapo Nguruwe haramu.
 
Ni Aya gani au hadithi gani katika Uislamu imeruhusu kula nguruwe ikidai ni sunna? Na unajua sunna maana yake nini? Usiongee kitu ambacho huna uhakika nacho ndugu.
endapo nitaenda sehemu hakuna mboga ya aina yeyote zaidi ya nyama ya nguruwe ,nife njaa kisa hairusiwi na Wala sisumu nitapiga mswaki kusafisha kinywa au uislam hautaki nife njaa
 
Wee jamaa ni geneus πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…