maranduhussein
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 275
- 140
Kweli akili yako kina kirefu tena kina kirefu cha Ibilisi mlaaniwa.Kama uislam unaruhusu mtu kula nguruwe kwamana ya suna inakuwaje mziki nao usiwe sehemu ya suna kwakuwa unampa mtu kipato
Nani kakuambia kula nguruwe ni sunna?Huo ni ushetani unaofuatwa na hao akina Konde na Simba