Ninachoamini mimi ni kwamba 'Mungu hana Jinsia' yeye ni 'Roho'
Lakini Harmonize aliposema Mungu anaweza kua mwanamke na akatoa points zake
Wewe na mimi hatuna sababu ya kumuona mkosefu kama huyo Shekhe alivyofanya
Tokea lini Roho ikawa na jinsia?
Biblia inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hivyo anaweza akawa ana jinsia ya kike au ya kiume
Kama unabisha kamlete Utuoneshe hiyo jinsia ya kiume aliyonayo
Kitu ambacho hakiwezekani
Mwisho wa siku utagundua hivi vitu ni vitu vya Nadharia, kila mtu abaki na anachokiamini sababu ushahidi hatuna zaidi ya maandiko ambayo yaliandikwa na wanadamu kama sisi
Rudisha mshipa nyuma urelax...!