Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

Hata sielewi elewi, Mara aige style ya sugu ya kuletewa fomu tena mara mbili (mara ya kwanza wazee wa mila na mara ya pili tena akarudia kwa kuchangiwa pesa na wengine) sasa tena kaona aende na mumewe😀😀, Wananchi wa mbeya sio vipofu mara moja inatosha tu kama mbunge wetu huyu wa sasa (sugu) alivyofanya, Mbunge wetu wa milele sugu yupo mioyoni mwetu ila tunamshukuru pia dada tulia kwa kusaidia saidia wana mbeya, aendelee ma moyo huo huo hata tutapomchagua sugu
 
Hivi nyie mnaposema mtu Ana mpunga mrefu
Ni Urefu upi?
Je ni mfanyabiashara? Ana kiwanda?

Ova
Samahani mkuu, najua wewe ni msomaji na mwelewa mzuri, pengine umeharakisha tu kujibu.
Soma vizuri yaliyoandikwa. Ameeleza huyo mume shughuli zake zilipo.

Au swali lako linahusiana na uwezo wa shughuli hizo na kiasi cha mpunga unachokifikiria wewe?

Kwa mtizamo huo utakuwa sahihi. Lakini hata viwanda si lazima viwe kielelezo cha kuwa na mpunga mrefu, au...

Nikiachana na hayo, niseme tu kwamba wana Mbeya wanayo nafasi nzuri ya kumwonyesha huyu binti kwamba utu ni bora zaidi ya kuwa na madaraka na kuyatumia vibaya.

Itabidi wamuadabishe kwa kumnyima kura. Hili litakuwa fundisho kwake na hao wengine wanaomtumikisha.
 
Tulia gia kubwa.
inabidi mrudi makwenu mkamsaidie, maana ndo anachinjiwa baharini.
 
Huyo binti mwembamba kama kaungua anajijua kabisa hakubaliki na hatashinda, ndio maana kwa miaka takribani 3 ameshatumia more than one billion Tzshs kujibrand na hata hivyo kura atapata chache. Ila kwakuwa wakurugenzi wateule wanasikiliza amri za Magu basi atatangazwa huyo mtu mwenye sura adimu
 
Labda atumie nguvu ya polisi na magereza ndo atashinda,
 
Changamoto kubwa kwa dada huyu ni kwamba

1. katika ardhi hii iliyosheheni wasafwa ni ngumu sana yeye mnyakyusa kupita (nafhani walioishi mbeya wananielewa vizuri zaidi)

2. Jinsia ya kike bado watu wanaamini ni dhaifu kwa hapa mbeya.

3. Katika miaka hii mitatu dada katoa misaada mingi sana hili jimbo, za chini chini ni kwamba hii misaada ilikuwa ya kufanya watu wampemde, lakini hali imekuwa tofauti, Soko lilipoumgua la sido alichangia milioni 10 lakini leo hii ukienda pale sokoni wengi bado wanamkubali sugu (binadamu rahisi sana kusahau wema)

Ni changamoto zilizopitwa na wakati ila ndizo zitazomwangusha

Kwa haraka haraka anaweza kupata kura za watu wawili katika kumi wataopiga kura, SUGU ni habari nyingine
 
Best comment ya thread 🏆
Sisisem ni malaghai sana. Yanapenda kutumia huo msemo wa kipumbavu kurubuni wananchi.
 
Haka kambwa hakatakiwi kabisa mbeya maana kanaenda kuharibu nchi zaidi kakishirikiana na ndugai na serikali.....
Hakajawahi kumtetea mwana Mbeya yeyote zaidi ya kufanya Mambo ambayo ni sanaa za uchaguzi Ila kana roho mbaya sn hakafai kabisaaa
 
Huu ndio ukweli......kimsingi hana faida yoyote kwa watz........kazi yake ni kupitisha sheria za hovyo kukandamiza wananchi na huku akipambana kupitisha sheria za hovyo kulinda viongozi wavunja katiba. Yaani huyu akilazimisha kuchagulia itakua Wanambeya wamesaliti taifa zima maana huyu kidudumtu ni kirusi cha taifa........nikikaangalia nyodo zake ndani na matendo yake nje ya bunge kamekaa kigaidigaidi...........
WANAMBEYA SEMA NO KWA TULIA SAY YES KWA SUGU
 
Na hizo pesa zote kapewa na meko
 
Ninachokiona kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kuna baadhi ya mikoa magari ya upupu yataongezwa na bunduki zitalainishwa na mafuta mapya kabisa.

Inaonekana watawara wamedhamilia kuwaondoa watu wanaokubalika kwenye maeneo yao.
 
Hakafai haka kamwanamke......nikikaangalia tabia zake na ndugai ni watu wenye akili zinazofanana za kulipeleka taifa kubaya zaidi .....Wanambeya msiwe sehemu ya dhambi hii ya kutupelekea huyu kidudumtu kwa kura zenu.....
Sugu Moto chini..
BORA mwanaccm yoyote aende bungeni lkn sio hiki kimwanamke
 
MBONA HUYU MUME WAKE KISAIKOLOJIA HAYUPO VIZURI? NI KAMA KUNA KITU ANAKIHOFIA VILE. NI KAMA ANAJIONA HASTAHILI VILE, WAZUNGU HUSEMA NI INFERIORITY COMPLEX. AU NI MKE WA KUPIGA NAYE PICHA TU?
 
Ukiwa na Jicho Kali na lililotukuka kabisa la Kisaikolojia ukimuangalia huyo Mumewe hapo nyuma utagundua kuwa ' anapelekeshwa ' hadi Huruma.
KWELI KABISA NA MIMI NIMELIONA HILO. NI KAMA VILE MUME ANAJIONA YUPO CHINI NA ANAMSINDIKIZA KIGOGO. KWA UTAMADUNI WA KIAFRIKA ILIBIDI MUME NDIO ASINDIKIZWE. MWEEEEEE HUYU BABA NAMWONEA HURUMAA! ANALAMBA VIATU VYA MKEWE
 
Mbeya lazima zipigwe tu
Maana Kuna watu watataka kuforce kingi

Ova
 
Katika wabunge wanajenga hoja zenye maslahi ya taifa, Sugu ni miongoni mwao. Anaweza asipate nafasi ya kurudi bungeni lakini ameitumikia vizuri nafasi yake ya kuwasemea wananchi.
 
Hauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..

Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..

Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..

Chama Cha Majizi..CCM.
Mkuu hawa wezi siku hizi hawahitaji kura zozote.. mtangaza matokeo ni mtu wao, anatamka tuu kuwa flani wa ccm ameshinda, hata Kama ana kura 1 tuu ndo baas, anakuwa mshindi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…