Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

Mbeya mjini bila Tulia na bila Sugu inawezekana. Naamini kuna wengine waliochukua fomu.
 
Msomi wa kisasa kabisa
Moyo wa kujali makundi yote
Kiongozi shupavu
Mwanambeya mwenzetu
Tayari anazijua vema changamoto zake mbeya mjini
Dhamira ya kuleta maendeleo tumeiona kwake kwa jinsi anavyojitoa na kushirikiana na watu wa ngazi zote

2020 Mbeya Mjini tunaenda na DK Tulia

CCM imara
 
Hakuyaona maendeleo miaka 60 ndio muyaone kwa sababu ya Tulia Akson?

Kwani waliochagua ccm miaka 60 yote wana maendeleo gani zaidi ya ambao hawakuchagua ccm?

Chato imechagua Magufuli na ccm miaka zaidi ya 60 lakini ni masikini ya kutupwa.

Chalinze wamechagua Kikwete na ccm miaka 60 ufukara unawaua wanauza korosho njiani na kukimbilia magali kama mbwa.

Mtwara imekua na mkapa hata sasa uhakika wa kula milo 2 hawana.

Mkuranga imekua na mwinyi, kijana wake na ccm miaka 59 ya uhuru lakini ni masikini wa kutupwa.

Msoma vijijini wamekua na Nyerere miaka 25, akaja kina Wa rioba, Mkono lakini ni masikini wa kutupwa.

Sawa, subirini maendeleo.
 
Hauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..

Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..

Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..

Chama Cha Majizi..CCM.
😊😊😊
 
Sugu ana album alikuwa anaipika ina mistari imeshiba na wakati wa kuipakua umewadia anarudi tena kwenye gemu ubunge hatoupata tena mwenyewe kafika! huyu Tulia huwezi kumlinganisha na Sugu na atapata sapoti ya serikali Mbeya mpya itaonekana na kupendeza!!

Sugu ni mhuni, mvuta bangi , msela na mropokaji tu hana hadhi ya kuwa mbunge!!anafaa kuwa kiongozi wa umoja wa bodaboda, huyu goli la mkono ni halali kabisa kwake!!!

hebu msikie anavyojinasibu kuvuta bangi hapa chini!

Labda malipo ya bk 7 yatakusaidia kupata usingizi.
 
We ni mtabiri? Wabongo bwana sijui akili zenu hua ziko kisiginoni..!! Yaani mtu unaongea kama MUNGU unapigia na mstali kabisa huna shaka..ujinga mwingi,sasa hata yote yatokee katika hali ya kusimamia maendeleo ya wananchi utamlinganisha Tulia na mla unga yule anaeongea kama anaimba?halafu kituko cha siku hzi mnatukana mpaka wapiga kura wenu maana siyo kila anayemuona wa CCM anafaa na yeye ni CCM, kumeibuka wapinzani hao hao wanaoelewa nchi inakwendaje lakini nyie ni kutukana tu mitandaoni,upinzani umepoteza dira na upinzani hasa upinzani wa chama cha kaskazini ni wahuni tu walevi wavuta bangi
Hauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..

Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..

Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..

Chama Cha Majizi..CCM.
 
Hauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..

Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..

Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..

Chama Cha Majizi..CCM.
Nitakukumbusha
 
Povu kama lote. October kitaeleweka tu.
 
Back
Top Bottom