Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Kwa jinsi mambo yake yalivyo, nilikuwa najua HANA MUME!Mkuu kumbe una utaalamu na vijitu vyenye miili isiokuwa na shukrani,na inaonyesha kana mnyanyasa sana vimbaumbau hawajawahi kuwa na utu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi mambo yake yalivyo, nilikuwa najua HANA MUME!Mkuu kumbe una utaalamu na vijitu vyenye miili isiokuwa na shukrani,na inaonyesha kana mnyanyasa sana vimbaumbau hawajawahi kuwa na utu
Huu ni uhalisia na hio ilikua inajulikana tangu wakati betina anafundisha udsmUkiwa na Jicho Kali na lililotukuka kabisa la Kisaikolojia ukimuangalia huyo Mumewe hapo nyuma utagundua kuwa ' anapelekeshwa ' hadi Huruma.
"Bi Tukinao" ni mtu aliyebebwa kuanzia chuo mpaka unaibu wa spika.Hatimaye Siku Tuliyoisubiri imewadia Mhe Mbunge Wa Mbeya 2020-2025 Na Naibu Spika Dkt Tulia Kachukua fomu ya Kugombea ubunge kilichobakia tunasubiri kuapishwa kwake mjengoni mwezi wa kumi na 11.
Sugu angetafuta jimbo lingine kwa Mbeya Mjini hashindi tenaUnaota ndoto za mchana wewe!
Sugu ni kama mvua ikiamua kunyesha inanyesha
Jidanganye ww na huyo Sugu tafuteni dili lingineMnajitahidi sana kupotosha lakini nikuhakikishie mimi kama mwenyeji na mkazi wa Mbeya Sugu anashinda mchana kweupe, CCM haina wapiga kura huku labda angalau pale Sinde na Ilolo.
Halafu we jamaa una jina zuri ila mambo yako ya kiboya sana, badili ID kwa ajili ya kulinda heshima ya jina
Huyu bibi nani atamchagua? atulie alee wajukuu hukoHatimaye Siku Tuliyoisubiri imewadia Mhe Mbunge Wa Mbeya 2020-2025 Na Naibu Spika Dkt Tulia Kachukua fomu ya Kugombea ubunge kilichobakia tunasubiri kuapishwa kwake mjengoni mwezi wa kumi na 11.
Mnajifanya watu wa jikoni.....Huyo amechukua tu fomu, lakini kuna mtu ameshaandaliwa anaitwa Mwakatobe, ndiye atakaye peperusha bendera ya ccm Mbeya Mjini.
Chezea Magu wee.
Shika hayo maneno yangu.
Hongera Mh Tulia, sasa Mbeya itatulia kimaendeleo.Hatimaye Siku Tuliyoisubiri imewadia Mhe Mbunge Wa Mbeya 2020-2025 Na Naibu Spika Dkt Tulia Kachukua fomu ya Kugombea ubunge kilichobakia tunasubiri kuapishwa kwake mjengoni mwezi wa kumi na 11.
Sugu hapiti na wala hatumtaki, tumechoka kuongozwa na watu wasio soma, kazi kupigana bungeni. Mbeya maendeleo yamesimama hakuna sababu ya siasa za wana harakati. Mbeya mkitaka maendeleo chagueni CCM, wapinzani mtabaki hivyo hivyo miaka yote miradi yote mtakua mnaisikia na kuona kwenye TVHauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..
Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..
Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..
Chama Cha Majizi..CCM.
We uko mvuti hapo unajifanya mkazi wa mbeyaSugu hapiti na wala hatumtaki, tumechoka kuongozwa na watu wasio soma, kazi kupigana bungeni. Mbeya maendeleo yamesimama hakuna sababu ya siasa za wana harakati. Mbeya mkitaka maendeleo chagueni CCM, wapinzani mtabaki hivyo hivyo miaka yote miradi yote mtakua mnaisikia na kuona kwenye TV
Mkiwezeshwa lazma dushe lihusike hamna lolote..Wanawake tunaweza hata tusipowezeshwa
Tulia anashinda mapema asubuhi. Huyo mwingine arudi kufokafokaHivi nyie madogo mnaobisha mumeuona upepo wa Tulia nyie? Huyu mwanamama anachukua jimbo mapema kabisa
Hauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..
Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..
Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..
Chama Cha Majizi..CCM.
ahahahaaaaaaaHauifahamu Mbeya wewe punguani wa ccm..
Unafikiri Mbeya mjini ni pakuiba-iba kura kama mnavyokwiba sehemu nyingine..
Ngoja utaona huyu BETINA atakavyogaragazwa na SUGU na hakuna hata kura moja mtakayoweza kuiba..
Chama Cha Majizi..CCM.
Sio wanawake wa ccmWanawake tunaweza hata tusipowezeshwa
hahahahaaa . . .eti wanatuletea sanaa kuwa bodaboda ndio waliomchangia? Upuuzi kabisa na kwa sugu ataisoma namba tena iliyonyookaKazunguka mbuyuuu
Kaingia katoka
Kaenda karudi
Mara kijani Mara nyekundu Mara blue
Kumbe target yake ilikuwa mbeya mjini
Ova
Hahahahahahahahaaa . . .eti wanatuletea sanaa kuwa bodaboda ndio waliomchangia? Upuuzi kabisa na kwa sugu ataisoma namba tena iliyonyooka