Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.

Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.

Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Ndugai.
Lini Chadema imepeleka wabunge, Chadema ina mbunge mmoja tu.
 
By far, ours is the most predictable state on earth. Yani tumekuwa bayana kama usiku na mchana. Sidhani kuna ambao waliamini kutakuwa na utofauti wa matokeo ya leo. Kazi na iendelee.
 
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.

Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.

Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Ndugai.
Kupata 100% ni jambo lililotarajiwa katika bunge la chama kimoja na lisilokuwa na wapinzani kabisa bungeni
 
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.

Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.

Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Ndugai.
Hata ndugai alikuwepo?
 
Ikitokea mama smaia kasafiri na mpango nae kasafiri, Ina maana tulia ndio anakua raisi?
 
J Pombe katuachia ujinga wa hali ya juu

Kwasasa kila kitu ni uongo uongo tu pumbafuuuu kabsa

Kuanzia utawala wa awamu ya tano ndo tumeanza kuona hata mabango ya kumpokea kiongoz wa nchi yanaandaliwa na wakurugenz wa halmashauri
 
Kulamba kura zote hiyo mbona ilikuwa given tu, kama idadi ya wabunge kama wote ni wa chama chake ni dhahiri kumpa kura wote, zingepungua chini ya hapo ingeleta tahshishi ni nani hakumpa kura na kwa sababu zipi? Bya the way ushindi huo ulikuwa dhahiri tangu mwanzo na hii inatokana na historia yake katika masuala ya uspika akitokea kuwa naibu spika
 
Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hivi Ubreaking news unaanzia wapi hapa? ina maana mlete taarifa hukujua kuwa Tulia atapita kuwa Spika, Hukuona Mchakato ulivyogumbikwa na sitofahamu? breaking news zinaanzia wapi kwa mantiki kama hizi?
 
Tukisema ni Bunge la Chama kimoja muwe mnatuelewa!
 
Back
Top Bottom