Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Wampe hata uji wa lishe basi avute room
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini Chadema imepeleka wabunge, Chadema ina mbunge mmoja tu.Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.
Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Ndugai.
Na yeye amempigia kura ya ndio.Dahh.. Joab atakuwa anajisikiaje deputy wake kuwa boss wake!!
Ngoja tuone mchezo utakapoishaAjiuzulu ubunge haraka sana ili kukwepa aibu hii
Ana bahati hakukuwa na kura ya hapana. Mchawi angekuwa yeye.Na yeye amempigia kura ya ndio.
Hawakuwa wabunge hivyo hawakupiga kura.Ajabu ni alioshindana nao pia wamempigia kura,
Yaani amependwa sio mchezo
Waliopiga kura za hapana wamebaki midomo waziAna bahati hakukuwa na kura ya hapana. Mchawi angekuwa yeye.
Kupata 100% ni jambo lililotarajiwa katika bunge la chama kimoja na lisilokuwa na wapinzani kabisa bungeniMbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.
Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Ndugai.
Walikuwa na mgombea?Chadema yaweweseka
Hata ndugai alikuwepo?Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.
Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Ndugai.
Yule wa Nkasi hata haeleweki. Angehamia tu CCM maana lazima atashinda uchaguzi wa marudio. Chadema wanapaswa kutoa tamko kuhusu uhalali wake.
Hivi Ubreaking news unaanzia wapi hapa? ina maana mlete taarifa hukujua kuwa Tulia atapita kuwa Spika, Hukuona Mchakato ulivyogumbikwa na sitofahamu? breaking news zinaanzia wapi kwa mantiki kama hizi?Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.