Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

Na wale 19 na yule wa Nkasi kura zao zipo humo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pep
[emoji1787]
giphy.gif
 
Zamu ya wanawake sasa.
Wataalamu wanasema siku mwanamke akawa Rais wa US,, dunia itapumzika namavita,
Dunia ingeongozwa na wadada, hata vitavya dunia havingekuwepo,,, [emoji3][emoji3]
Wanaume tuna tabia ya kupimana ubavu
Ona sasa putin na biden. Wanapimana kwa jambo la kijinga sana nawanahatarisha usalama wa dunia
 
Zaidi ya 50% ya hao wabunge ni bao la mkono na hata hao 19 wanaoitwa wa upinzani ni dhuluma za yule mtu wa ovyo Ndugai, wabunge wa kweli wapo mtaani, miaka yote CCM wanaiba kura ila 2020 CCM ilifanya wizi mkubwa ambao haujawahi kutokea tangu tupate uhuru
Wabunge 19 wa chadema , waliteuliwa kutokana na kura ilizopata kama sikosei,, ila sasa akina msigwa , henche etc inaonekana walitaka wao ndo wateuliwe ndiposa wakaanza figisu kuwakataza kina bulaya eti wagome kuapishwa, sababu hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu
 
Mimi kwa Magufuli sikuishi kwa hofu kwa kuwa nilijua mabeberu hawatatuchezea na pia sikuwa na makando kando.Waliokuwa na makando kando ndio walio kuwa na hofu.Sasa nina hofu kwa kuwa najua mabeberu wameikamata nchi na Shetani is in control.Ni baada ya muda tu atadhihirisha makucha yake halisi kwa Tanzania.
Mabeberu ni dhana tu, hata lema na lisu wanaishi kwa hao mnamwita mabeberu, na harakati zao ziko funded na hao unawaita mabeberu
 
Wataalamu wanasema siku mwanamke akawa Rais wa US,, dunia itapumzika namavita,
Dunia ingeongozwa na wadada, hata vitavya dunia havingekuwepo,,, [emoji3][emoji3]
Wanaume tuna tabia ya kupimana ubavu
Ona sasa putin na biden. Wanapimana kwa jambo la kijinga sana nawanahatarisha usalama wa dunia
Wataalam gani wanaoongea ujinga wa kiwango hicho.Wacha dunia ibaki kua ya wanaume ili nidhamu iwepo.Hiyo Us siku ikiwa na kiongozi mwanamke jua ndo ubabe wake kama Taifa lenye nguvu na ushawishi duniani utakapofika kikomo.Usishangilie sana mambo ya kike maana nyakati zinaonyesha kua maanguko mengi yanapitia kwa mwanamke.Huwezi kuelewa ila fanya utafiti utagundua.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hayawi hayawi yamekuwa! Leo Bunge la Tanzania limefungishwa ile ndoa ya mkeka ambayo mzazi wa bibi harusi amekuwa akiilia timing kwa kipindi sasa. Bibi harusi alizungukwa na wapambe wanane.

Waliopata bahati ya kushuhudia hiyo ndoa ya mkeka wanasema ndoa ilifana sana; nderemo na vifijo kila kona!
 
Attachments

  • 94d6ff60-a65c-4f54-a9c5-80ead741c5b8.jpg
    94d6ff60-a65c-4f54-a9c5-80ead741c5b8.jpg
    72.7 KB · Views: 7
Mimi kwa Magufuli sikuishi kwa hofu kwa kuwa nilijua mabeberu hawatatuchezea na pia sikuwa na makando kando.Waliokuwa na makando kando ndio walio kuwa na hofu.Sasa nina hofu kwa kuwa najua mabeberu wameikamata nchi na Shetani is in control.Ni baada ya muda tu atadhihirisha makucha yake halisi kwa Tanzania.
Ni kwa sababu katika hayo niliyoyataja hakuguswa ndugu yoyote yoyote yule ndio mana umekosa hisia, ,
waache watu wapununue nyuso zao, labda wewe ni katika muliolamba shavu akina jamii za kina polepole na bashiru wao walisema sawa tu mzee
 
Tangu enzi ya chama kimoja haijawahi kutokea.spika akapata 100%hata ilivyokuwa upigie kivuli au mtu bado hakuna aliyepata [emoji817] huku badala ya kwenda mbele demokrasia inarudi nyuma
 
Bunge lilishapoteza uelekeo siku nyingi tu, toka uchaguzi mkuu uliopita ambapo washindi walipatikana kwa nguvu ya mwenyekiti wa CCM na sio kwa maamuzi ya kura za wananchi.

Kilichotokea leo ni muendelezo wa kuelekea shimoni kwa demokrasia ya taifa letu, na kuzaliwa na kukuzwa kwa tabia ya kumtukuza mtu mmoja ambae ndie mkuu wa serikali, bunge, na mahakama.
 
Mabeberu ni dhana tu, hata lema na lisu wanaishi kwa hao mnamwita mabeberu, na harakati zao ziko funded na hao unawaita mabeberu
Mabeberu sio dhana,ni real,hawa ndio NWO.Kama seriously unaamini ni dhana,you are living under an illusion.
 
Ni kwa sababu katika hayo niliyoyataja hakuguswa ndugu yoyote yoyote yule ndio mana umekosa hisia, ,
waache watu wapununue nyuso zao, labda wewe ni katika muliolamba shavu akina jamii za kina polepole na bashiru wao walisema sawa tu mzee
Walioguswa walikuwa na makando kando,walistahili.
 
Walioguswa walikuwa na makando kando,walistahili.
Akina Mo, Wema Sepetu, wabunge wale wa upinzani kunuliwa, watu wasiojulikana, kesi za kubambika, maduka ya fedha za kigeni pale kariakoo kuchukuliwa fedha zao licha ya kuonyesha document zote halali, watu kufilisiwa, kunyaganywa mashamba akina lowasa alipigwa pini mpaka akarudi mkundenikwe, emu tiririka vizuri mkuu usimungunye maneno
 
Nachojua mimi CCM hatujawahi kuwa na uchaguzi haki na huru ndani ya taasisi yetu, demokrasia ndani ya CCM yetu si finyu tu bali HAIPO kabisa.
 
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.

Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.

Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Yustino Ndugai.
COVID19 wangejidsnganya wasimpigie Kura Betina angeanza mara moja kuchunguza uhalali wa ubunge wao.
 
kwa hiyo mnataka kutuambia kiti cha MTEMI tayari kimepata mrithi? Mtemi Mzee wa Bethlehem chaliii.. ha ha ha ha yaani CCM bana hapa ndipo napowapendea.
 
Back
Top Bottom