Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍Alioshindana nao sio wabunge, hawakupiga kura[emoji851][emoji851]
Wataalamu wanasema siku mwanamke akawa Rais wa US,, dunia itapumzika namavita,Zamu ya wanawake sasa.
Wabunge 19 wa chadema , waliteuliwa kutokana na kura ilizopata kama sikosei,, ila sasa akina msigwa , henche etc inaonekana walitaka wao ndo wateuliwe ndiposa wakaanza figisu kuwakataza kina bulaya eti wagome kuapishwa, sababu hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuuZaidi ya 50% ya hao wabunge ni bao la mkono na hata hao 19 wanaoitwa wa upinzani ni dhuluma za yule mtu wa ovyo Ndugai, wabunge wa kweli wapo mtaani, miaka yote CCM wanaiba kura ila 2020 CCM ilifanya wizi mkubwa ambao haujawahi kutokea tangu tupate uhuru
Mabeberu ni dhana tu, hata lema na lisu wanaishi kwa hao mnamwita mabeberu, na harakati zao ziko funded na hao unawaita mabeberuMimi kwa Magufuli sikuishi kwa hofu kwa kuwa nilijua mabeberu hawatatuchezea na pia sikuwa na makando kando.Waliokuwa na makando kando ndio walio kuwa na hofu.Sasa nina hofu kwa kuwa najua mabeberu wameikamata nchi na Shetani is in control.Ni baada ya muda tu atadhihirisha makucha yake halisi kwa Tanzania.
Wataalam gani wanaoongea ujinga wa kiwango hicho.Wacha dunia ibaki kua ya wanaume ili nidhamu iwepo.Hiyo Us siku ikiwa na kiongozi mwanamke jua ndo ubabe wake kama Taifa lenye nguvu na ushawishi duniani utakapofika kikomo.Usishangilie sana mambo ya kike maana nyakati zinaonyesha kua maanguko mengi yanapitia kwa mwanamke.Huwezi kuelewa ila fanya utafiti utagundua.Wataalamu wanasema siku mwanamke akawa Rais wa US,, dunia itapumzika namavita,
Dunia ingeongozwa na wadada, hata vitavya dunia havingekuwepo,,, [emoji3][emoji3]
Wanaume tuna tabia ya kupimana ubavu
Ona sasa putin na biden. Wanapimana kwa jambo la kijinga sana nawanahatarisha usalama wa dunia
Ni kwa sababu katika hayo niliyoyataja hakuguswa ndugu yoyote yoyote yule ndio mana umekosa hisia, ,Mimi kwa Magufuli sikuishi kwa hofu kwa kuwa nilijua mabeberu hawatatuchezea na pia sikuwa na makando kando.Waliokuwa na makando kando ndio walio kuwa na hofu.Sasa nina hofu kwa kuwa najua mabeberu wameikamata nchi na Shetani is in control.Ni baada ya muda tu atadhihirisha makucha yake halisi kwa Tanzania.
Mabeberu sio dhana,ni real,hawa ndio NWO.Kama seriously unaamini ni dhana,you are living under an illusion.Mabeberu ni dhana tu, hata lema na lisu wanaishi kwa hao mnamwita mabeberu, na harakati zao ziko funded na hao unawaita mabeberu
Walioguswa walikuwa na makando kando,walistahili.Ni kwa sababu katika hayo niliyoyataja hakuguswa ndugu yoyote yoyote yule ndio mana umekosa hisia, ,
waache watu wapununue nyuso zao, labda wewe ni katika muliolamba shavu akina jamii za kina polepole na bashiru wao walisema sawa tu mzee
Siyo kweli, Kuna wabunge wa ACT, CCM, CHADEMA, CUF.
Akina Mo, Wema Sepetu, wabunge wale wa upinzani kunuliwa, watu wasiojulikana, kesi za kubambika, maduka ya fedha za kigeni pale kariakoo kuchukuliwa fedha zao licha ya kuonyesha document zote halali, watu kufilisiwa, kunyaganywa mashamba akina lowasa alipigwa pini mpaka akarudi mkundenikwe, emu tiririka vizuri mkuu usimungunye manenoWalioguswa walikuwa na makando kando,walistahili.
COVID19 wangejidsnganya wasimpigie Kura Betina angeanza mara moja kuchunguza uhalali wa ubunge wao.Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye jumla hiyo.
Spika Tulia Akckson ameapishwa kuwa Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimrithi mtangulizi wake aliyeng'atuka, Job Yustino Ndugai.