Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

Kana Charisma fulani..
Dr Tulia ni mpango wa Mungu mwenyewe.Angalia historia yake yakupanda ngazi na vyeo. Ni kiongozi mwenye akili kubwa sana kichwani mwake.Mungu yupo ndani yake kutokana na ucha Mungu wake na Tabia njema yake impendazayo Mungu.
 
.
 
Niwaambia sana humu jukwaani kuwa Dr Tulia ndiye Rais ajaye wa IPU,niliwambia kuwa Dr Tulia anaungwa mkono kutoka katika kila kona ya Dunia.uwezo wa Dr Tulia ni mkubwa sana na wa maajabu.ni nyota Ing'aayo na kuangaza kila mahali.

Nilikuunga mkono kwenye ule uzi. Mitanganyika inadhani kila mtu hana uwezo kama wao. Tulia ni best spika toka kwenye hii nchi EVER. Kama kuna mtu hakuona huu ushindi kabla huyo mtu ni zwazwa grade A1. Waseme na huko kaiba kura 😅
 
WATU ROHO ZINAWAUMA EEE??
 
WATU ROHO ZINAWAUMA EEE??
Watu wanaumia mpaka wanakosa amani hasa baada ya kuona namna mh Dr Tulia alivyoshangiliwa muda wote,watu kung'ang'ania kupiga naye picha pamoja na kumpa kura nyingi za Kishindoo.
 
Urais wa IPU….Watanzania mnashoboka na vitu vya kipumbavu sana!

TF is IPU anyway? Some third world banana republic talking shop?
 
Erythrocyte. Bejamini Netanyau .SAGAI GALGANO leo lazima mfungwe kamba haraka sana ili msije mkajinyonga kwa maumivu na wivu wa kuona ushindi huu wa kishindo wa Dr Tulia Acksoni mwansasu.
 
Urais wa IPU….Watanzania mnashoboka na vitu vya kipumbavu sana!

TF is IPU anyway? Some third world banana republic talking shop?
Wewe endelea na kazi yako huko Marekani maana naona wivu umekujaa mpaka aibu.kama una hasira na Umeumia basi kunywa hata sumu ya panya kutuliza maumivu yako.
 
Dr Tulia ni moto wa kuotea mbali,ni mpango wa Mungu mwenyewe,ni mtu aliye na kibali cha Mwenyezi Mungu mkononi mwake ndio maana unaona namna ambavyo amekuwa akipata ushindi kila jina lake liwekwapo mezani.
Bwashee mbona unarudiarudia kuniquote au unataka kukimbiza page? 😂😂😂
 
Tundu Lisu wa chama cha watoa taarifa anasemaje?
Nimepata taarifa kuwa yupo kufakamia mipombe mikali kwa hasira za kuona Dr Tulia Acksoni ameshinda kwa kishindo huku ukumbi mzima ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo.
 
Kama bunge lenu takakata hapa nchini imejaa na vichaa hata umejiajirisha kazi yakuwapigila debe kila kucha nakubaki nategemeo yakuteuliwa hako kakundi kakina mama katakusaidia nini wewe kahaba?
 
Kamenimalizia bundle.. ila kako good..
Shida ni Chama chake tu... MASHETANI
Mtamkubali tu mwaka huu kwa ndimi zenu maana Dr Tulia ni mpango wa Mungu mwenyewe.kama Dunia inamkubali na kumuunga mkono kwa kishindo,ninyi ni akina nani mpaka mumpinge?
 
Kama bunge lenu takakata hapa nchini imejaa na vichaa hata umejiajirisha kazi yakuwapigila kila kucha nakubaki nategemeo yakuteuliwa hako kakundi kakina mama katakusaidia nini wewe kahaba?
Leo lazima ufe kwa presha na mihasira, wakati Dunia nzima ikiendelea kushangilia ushindi wa Dr Tulia.
 
Uwe unaandika habari zako kwa ufupi, hakuna mtu yupo interested kusoma hilo gazeti, mi mwenyewe nimesoma kichwa cha habari tu.
 
Kwa zile rushwa zilizotembezwa sishangai.. Maokoto ya dpw yamesaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtasema tuu maana bado hamjasemaa. Si mlisema hawezi kupita? Si umeona namna Dada wa Taifa alivyopita na kushinda kwa kishindo? Umeona namna Dunia ilivyotetemeka? Umeona namna watu wanavyo ng'ang'aniana kutaka kupiga picha na Dr Tulia? Umeona namna alivyo na uwezo mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja mpaka kuwateka wajumbe wote kutoka kila kona ya Dunia?

Dr. Tulia ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Huwezi ukashindana naye hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…