Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
 
Mama yenu naye anapanga safu yake.

Mtajuta , tukiwaambia katiba mpya ni muhimu hamtaki.
 
Ki
nyume na katiba, anajua aliyofanya na Mungu hadhihakiwi
 
sasa hivi ule wimbo wa katiba mpya hakuna tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Je wanasheria hii imekaaje?

Je Naibu sahihi ccm kumpitisha Naibu spika kuwa Spika? Je akiingia kupigiwa kura ndo atajiuzuru?
 
Siyo lazima awe yeye. Anaweza kifa usiku huu au pia Kuna chadema na Act
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…