Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Soma tarehe ya bandiko hili!.
P

Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
 
Mama yenu naye anapanga safu yake.

Mtajuta , tukiwaambia katiba mpya ni muhimu hamtaki.
 
Ki
Aliyekuwa Naibu Spika Wa Bunge Dkt Tulia Ackson Mwansasu amepitishwa na Kamati Kuu ya CCM Chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


-----

Dr. Msomi Tulia Ackson ameteuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge.

Kinachosubiriwa na kupigiwa kura tu na wabunge wa CCM.

Ukubali ama ukatae Tulia ndie spika mpya wa JMT.

Kazi Iendelee.
nyume na katiba, anajua aliyofanya na Mungu hadhihakiwi
 
sasa hivi ule wimbo wa katiba mpya hakuna tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Je wanasheria hii imekaaje?

Je Naibu sahihi ccm kumpitisha Naibu spika kuwa Spika? Je akiingia kupigiwa kura ndo atajiuzuru?
 
Back
Top Bottom