mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Soma tarehe ya bandiko hili!.
PVoices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
Bado sijaona mtu anafaa kuwa spika huko CCM
Watu wanataka ZUNGU awe spika, ukiacha, Umasikini,Ujinga na Maradhi tatizo lingine moja wapo linalotukumba Watanzania kuwa sisi ni watu wasahaulifu SANA. Ila hawa UVCCM wangekuwaga wako serious kuipinga serikali inayoongozwa na chama chao kwenye mambo mbalimbali Mfano kupanda kwa gharama za...
Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app