Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hopeless kabisa hauna manufaa. Yani kwa kiufupi tumepigwa kona zoteHuo Muhimili mwingine nao ni bure tu.
Huyo Cheusi anakutana wapi na hao CHADEMA mahakamani au?Huyu cheusi ataipiga cdm kung fuu mpaka ijute
hayo huwaga ni mawazo yenu tu hebu fikiria rais mpole mnyeynye kevukama samia naye mnamchukia sijui huwaga mnataka kiongozi wa aina gani awamu yatano mlikuwa mnalia na hii bado mnalia yaani hamueleweki mnapenda nini
Itapigwa huko huko iliko sheria si zinatungwa bungeniKweli kabisa, siku hizi kazi ya speaker Ni kuipiga kungfu CHADEMA. Ndio maana sheria za hovyo zinapitishwa bungeni baadae wanaanza kulalamika. Kwa bahati mbaya CHADEMA haipo bungeni, sijui ataipiga saa ngapi huyo kibaraka.
Ccm Ni Laana !hapo hamna sauti ya wananchi Ni bunge la bure uozo mtupu...Kuna mambo yanaudhi!
[emoji769]Ya kuelekea KaananiBado Watanzania tuna safari ndefu!
Hii kesi Tundu Lissu hatakuja kuisahau maisha yake yote
Jaji alitumia dak 5 tano kutupilia mbali hoja za lissu baada ya kuridhishwa na kiapo kinzani toka kwa Dk Tulia
Speaker sio wakutii maagizo Bali Ni wa kulisimamia bunge Kama mhimili unaojitegemea.
ushaona wapi ccm kuna gaidi? chadema ni mashetani mpaka magaidi wanao sasa nani mbaya kati ya ccm na chadema wenye magaidi?
Bora SpikaMchezo Umekwisha!,
Jina Moja ni Dr. Tulia Akson!
Paskali.
How? Tupe dondoo kdg...Maamuzi mazuri sana yamefanywa na CCM.
Dr. Tulia ni Chaguo sahihi kabisa.
Picha pleaseWanawake wote juuuuu.