Dkt. Tulia Ackson umetuinua Waafrika na kuwaonyesha watu wa mabara mengine kuwa Mtanzania si wa kumchezea

Hiyo strategic body movement vijana wa sasa hawaioni kabisa.
 
Dr Tulia amekiua chama changu CCM na mstakabali wake wa kushika Dola milele!!
 
Mpaka maiti za watu mnataka zitambulishwe kwa vyama?. Inamsaidia nini marehemu na familia yake?.
Sijasema maiti zitambuliwe kichama bali wajulikane waliouwawa na sababu za wao kuuwawa

Ukisoma Universal Declaration of Human Rights , inaeleza haki ya kuishi hivyo kama watu wanaondolewa haki hii ni kinyume na haki za binadamu.
Sio kila kitu kitazamwe kwenye mtazamo wa kisiasa, kwa akili hizi nakubaliana na wale wanaoamini kuwa hii demokrasia sio kwa ajili ya waafrika, ni tamaduni tumeziiga kwa wengine na hatuziwezi.
Demokrasia sio kwa ajili ya Africa hivyo udikteta ndio msingi sahihi wa uongozi kwa Africa?

Kwahiyo unaunga mkono mauaji na utekaji?

Katika misingi ya kidemokrasia kuna taratibu za kufuata kwa mtu aliyekiuka , ila kwa udikteta ni amri moja tu mtu atatekwa na kuuliwa.
 
Kwamba amekutuma uje kuandika huu ujinga wako hapa! huyo amefanya nini cha maana? shame on you

Kwenye vikao tu kwenu hua unatumika kutuliza kelele watoto wa ndg zako pindi ndgzo wakiwa kikaoni

Utaona nini cha maana alichowafanyia wananchi dr Tulia..
 
Mwenzio zamani kabla sijaenda ng’ambo nilikuwa najivunia sana utanzania kama wewe. Ila baadaye hata kujiita mtu wa hiyo nchi nikafuta. Ukijiita mtu wa nchi hiyo hata dili hupati.

Wewe kalaga baho
Miaka ya Mwalimu tukisafiri nchi yoyote duniani kulikuwa hakuna visa. Nyie kizazi cha wabeba madawa ya kulevya na mnaohamia kiharamu nchi nyingine lazima mtiliwe mashaka.
 
Kule kakutana na watu wenye fikra huru sio kama za pale chamwino ambako ni kusanyiko la machawa.
 
Kweli kabisa ndio jeuri ya MTZ hiyo. Hata mimi nilishawanyoosha wazungu huko Ireland walitaka kuniletea ujinga na ubaguzi wa kikoloni niliwapa vidonge vyao wananiheshimu mpaka leo! Tusiwe kama Wakenya kujikombakomba tu kwa mabeberu.
 
Akili yako ya kitoto sana tunaongelea issue ya kimataifa wewe uko local. Kwa hiyo wewe unaona Mh. TULIA hajajibu vizuri huko majuu? Pezuka basi kiakili mkuu wakati mwingine fikiri out of the box. Dunia nzima inampongeza wewe una diss na issue zako za kitoto toto tu.

Some comments hapo chini kwenye hiyo link


View: https://youtu.be/kMc6CYfZzZE?feature=shared
 
Sioni haja ya kujadiliana na wewe kama umeona nina akili ya kitoto na umeshindwa kuelewa hoja nyepesi maana kama anashindwa kuyajenga ya kwake ya majuu atayaweza?
 
Naitumia hii clip yako mkuu, kwenye mada tangulizi.
Hata wazungu wameukubali moto wa Tulia!
 
Hiyo tulia katudhalilisha sana watanzania tunaojitambua.
Yule jamaa alisema hiyo ilikuwa Kingereza kitupu,wewe unafikiri kwanini asingesema ratiba iliingiliana siku ile tulipanga kwenda Ukraine wenyeji wetu walikuwa New York ikabidi tuende Moscow.Fulstop
 
Tumeaibishwa tena kwa mara nyingine.
 
Hao shut up ndio wanamlipa posho....alizokimbilia...ndio hao wata bote her out.....umasikini ni shida.....wakisema nchi yako ikulipe posho na gharama zote atajiuzuru kesho asubuhi......
 
Hakuna anayejali Tulia kaongea nini, ni useless Organization, acha atafute posho za safari na vikao
 
Kuna watu hasa wale waandamanaji, wanajipeleka ulaya kinyonge na kutegemea kufadhiliwa,.
Ukiwa na unyonge wa moyo na ni tegemezi, huwezi ongea kama Dr Tulia alivyoongea.
Kwamba tz si tegemez huyo mwnyw anapata mshahara kwa utegemez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…