Dkt. Tulia Ackson umetuinua Waafrika na kuwaonyesha watu wa mabara mengine kuwa Mtanzania si wa kumchezea

Dkt. Tulia Ackson umetuinua Waafrika na kuwaonyesha watu wa mabara mengine kuwa Mtanzania si wa kumchezea

Hao shut up ndio wanamlipa posho....alizokimbilia...ndio hao wata bote her out.....umasikini ni shida.....wakisema nchi yako ikulipe posho na gharama zote atajiuzuru kesho asubuhi......
Ukiwa na mawazo ya kununuliwa hutoboi.
Kaka, watakunyea usoni, nawe utaishia kusema hewala bwana!
 
Sijasema maiti zitambuliwe kichama bali wajulikane waliouwawa na sababu za wao kuuwawa

Ukisoma Universal Declaration of Human Rights , inaeleza haki ya kuishi hivyo kama watu wanaondolewa haki hii ni kinyume na haki za binadamu.

Demokrasia sio kwa ajili ya Africa hivyo udikteta ndio msingi sahihi wa uongozi kwa Africa?

Kwahiyo unaunga mkono mauaji na utekaji?

Katika misingi ya kidemokrasia kuna taratibu za kufuata kwa mtu aliyekiuka , ila kwa udikteta ni amri moja tu mtu atatekwa na kuuliwa.
Siungi mkono mauaji na utekaji nasema haya malalamiko yetu ya mitandaoni hayawezi kuzuia mauaji kufanyika huko mitaani.

Ni kinyume cha haki za binadamu kwa mtu kuuawa, lakini tangu tangazo hilo limejulikana dunia nzima limeweza kuzuia vifo vingapi visitokee?.

Demokrasia inachelewesha maendeleo ya kweli ya afrika, na wazungu wamefahamu hilo na kulipandikiza kwetu mapema baada tu ya kupatikana kwa uhuru.

Tazama Kenya wanavyopoteza muda kwenye maandamano kila siku yenye siasa za kumpinga Ruto, huu ni muda ambao watoto wa China na Korea wanautumia katika kujifunza masomo ya ubunifu na wakishamaliza shule wanatoka kwao na kwenda kuishi popote wakiwa kichwani wanao ubunifu wenye kuwawezesha kuishi bila ya taabu.
 
Hakuna anayejali Tulia kaongea nini, ni useless Organization, acha atafute posho za safari na vikao
Kama wewe hujali ipo dunia ya mitandaoni inajali sana, tatizo ni lile lile la kunyamazia uwezo wa mtu, angekuwa kaongea kingereza kibovu au kachemsha kwa namna moja au nyingine humu jukwaani angeshambuliwa vilivyo.

Tunapenda sana kufurahia kushindwa kwa mtu lakini anapoonyesha uwezo na kuheshimika kidunia sisi tunakuwa wa kwanza kuponda.
 
We umetokea wapi, Rais si alitembelea Katavi juzi tu. Au Katavi ipi unazungumzia. Arusha yuko kila mara, mwaka jaza moja wa 7 alienda zaidi ya mara 5. Manyara alienda mwaka jana na kuzima mwenge, alizindua vihenge vya kuhifadhi mahindi. Acheni uwongo na uzushi
Huyo ni mzee wa kulalama muda wote. Hawezi kutafuta data za uhakika kabla hajaandika chochote, kwanza analalamika halafu ndio anafikiria juu ya hicho alicholalamika.
 
Ukiwa na mawazo ya kununuliwa hutoboi.
Kaka, watakunyea usoni, nawe utaishia kusema hewala bwana!
Miaka 60 mwendo mdio huo baba.....hata leo chanjo watoto wako bure msaada wao....sisi tunaweza domo kaya na uchawa usidanganyike hata bajeti tunakusanya 40% pekeyale usidanganyikeeew....uhuru wa bendera tu.....wakikata tutauana humuu .....utaliwha nñ jeshi? Madawa ? Salary? Etc....wanaeiasa wanajua wanatuchezea tuu akili hakuna kitu....angalau tungefika 80% ......tuko mbali aanaa kwenye ukweliio
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=kMc6CYfZzZE
Nikifikiri kizazi cha watanzania wenye jeuri ya nchi yao kiliishia na Mwalimu Nyerere.
Wakati wa Mwalimu, hakuna mwanasiasa wa nje ambaye alikuwa hajitayarishi vilivyo kuongea na mwanadiplomasia wa Tanzania.
Wanadiplomasia wabobevu kama Mzee Mahiga kizazi hicho kilicho pikwa na Mwalimu kimepotea kabisa.

Dr Tulia karudisha heshima ya kujibu hoja kibabe na kujiamini akiwa anajibu ana kwa ana.
Hii ndiyo jeuri ya mtanzania iliyopotea miaka mingi.

Akiwajibu wale wazungu waliohoji kapata wapi kibali cha kuongea na Putin wa Urusi, kimsingi Dr Tulia kawaambia tuheshimiane, hunipangii pa kwenda alimradi nilitaka kuja kwako hukunikaribisha-tuheshimiane!!
Mzungu akalewa za uso!

Pia soma: Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Unampongeza Tulia kwa kuwa ni mnyakyusa mwezio bila kuchambua kwa ujinga wake. Wewe ni chawa wake wa kikabila tu. Ndiyo maana hamfiki mbali. Tulia hana skills kwenye masuala ya conflict resolution and diplomacy. Akikubali positive criticism itamjenga lakini siyo sofa za kibwege kama hizo inazompa.
 
Charity begins at home.
Shujaa hushangiliwa kwao.
In the circumstances hebu eleza wewe ungesemaje?
 
Kwa kawaida na fuatilia sana.
Huwezi hata uwe nani, ukamnyea shombo usoni mnyakyusa halafu akakukubalia na kuchekacheka kama hana akili nzuri.
Tulia has done us proud, hata kama ni jeuri masikini.
 
Dr Tulia ni mwana mageuzi,nakumbuka aliwahi hoji bungeni akiwa ni Spika,kuwa inashindikana nini mabasi kusafiri usiku?.
Waziri wa usalama hana jibu kwamba usalama hautoshi,na waziri wa Biashara hana jibu,waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji nae hana jibu.kilichofuatia ni LATRA kutoa tangazo la masaa 24.
 
Charity begins at home.
Shujaa hushangiliwa kwao.
In the circumstances hebu eleza wewe ungesemaje?

In international diplomacy. Rule no 1. Never go bananas at the podium. In other words do not over react. Do not show your anger even when justified. Keep calm.

Jibu sahihi kwa uzoefu wangu lingekuwa simply

Regrettably President Zelenskys schedule made it difficult when I asked to visit. I look forward to visiting Ukraine at his earliest convenience.

Ila kutoa direct answers kwenye forums hizo ni hatari... you are always walking on eggshells
 
Kwa kawaida na fuatilia sana.
Huwezi hata uwe nani, ukamnyea shombo usoni mnyakyusa halafu akakukubalia na kuchekacheka kama hana akili nzuri.
Tulia has done us proud, hata kama ni jeuri masikini.
Mnyakyusa mwingine anatetea uvundo wa mnyakyusa mwenzie. Haya tunawajua kwa ukabila wenu
 
In international diplomacy. Rule no 1. Never go bananas at the podium. In other words do not over react. Do not show your anger even when justified. Keep calm.

Jibu sahihi kwa uzoefu wangu lingekuwa simply

Regrettably President Zelenskys schedule made it difficult when I asked to visit. I look forward to visiting Ukraine at his earliest convenience.

Ila kutoa direct answers kwenye forums hizo ni hatari... you are always walking on eggshells
Umejibu sahihi sasa anza kuitafuta hiyo nafasi ya IPU.
 
Siungi mkono mauaji na utekaji nasema haya malalamiko yetu ya mitandaoni hayawezi kuzuia mauaji kufanyika huko mitaani.
Ok hapa tuko sawa.
Ni kinyume cha haki za binadamu kwa mtu kuuawa, lakini tangu tangazo hilo limejulikana dunia nzima limeweza kuzuia vifo vingapi visitokee?.
Limeweza na kuna watu wamefunguliwa mashtaka ICC.
Demokrasia inachelewesha maendeleo ya kweli ya afrika, na wazungu wamefahamu hilo na kulipandikiza kwetu mapema baada tu ya kupatikana kwa uhuru.
Kwa mizania ipi?
Tazama Kenya wanavyopoteza muda kwenye maandamano kila siku yenye siasa za kumpinga Ruto
Kenya na Tanzania , nchi ipo iko chuu kiuchumi ?
, huu ni muda ambao watoto wa China na Korea wanautumia katika kujifunza masomo ya ubunifu na wakishamaliza shule wanatoka kwao na kwenda kuishi popote wakiwa kichwani wanao ubunifu wenye kuwawezesha kuishi bila ya taabu.
Umetoa mifano michache sana je nchi za kidemokrasia zilizo na uchumi mkubwa mbona hujazitaja Marekani ,Canada, Japan , Ujerumani , Uingereza, Ufaransa, Italia n.k
 
Kama wewe hujali ipo dunia ya mitandaoni inajali sana, tatizo ni lile lile la kunyamazia uwezo wa mtu, angekuwa kaongea kingereza kibovu au kachemsha kwa namna moja au nyingine humu jukwaani angeshambuliwa vilivyo.

Tunapenda sana kufurahia kushindwa kwa mtu lakini anapoonyesha uwezo na kuheshimika kidunia sisi tunakuwa wa kwanza kuponda.
Hahaha nobody cares na huo ujinga wa nonsense organization's kama hizo, ni nchi maskini tuu ndio wanachukulia serious maana ndio wanapopatia posho, hata Magufuli alishtukia huo ujinga akaacha kupoteza muda kusafiri kuhudhuria hii mikutano ambayo ni useless
 
Ok hapa tuko sawa.

Limeweza na kuna watu wamefunguliwa mashtaka ICC.

Kwa mizania ipi?

Kenya na Tanzania , nchi ipo iko chuu kiuchumi ?

Umetoa mifano michache sana je nchi za kidemokrasia zilizo na uchumi mkubwa mbona hujazitaja Marekani ,Canada, Japan , Ujerumani , Uingereza, Ufaransa, Italia n.k
Demokrasi ya afrika ipo kwa ajili ya maslahi ya hao wakubwa kina Marekani na Uingereza. Wanafadhili mifarakano mingi ya afrika na wanatoa silaha ili tupigane wabebe mali zetu kiulaini.

Hapo DRC tangu mapema miaka ya 60 waliamua kufanya unyama wa wazi wakamuua Lumumba mpaka leo ni mwendo wa matatizo ya kuuana wao kwa wao wakati wazungu wakisomba madini ya bei mbaya kwa ajili ya viwanda vyao.

Dr Tulia hongera sana umeifufua roho ya Mwalimu Nyerere aliyokuwa akiionyesha kwenye vikao vya kimataifa, ule uwezo wa kusimamia heshima ya mwafrika bila ya kujali zile hulka zao za kikoloni.
 
Back
Top Bottom