Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.

Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.

Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559
Ha ha ha!!!! Fundi ujenzi! Wanaitwaje vile- mason!!!
 
Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.

Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.

Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559
Maigizo ya kuombea kura! Ungese kabisa huu!
 
Aliye mwita Betina hakukosea yaani amekaa Kama kile kikatuni Cha sanni
Wananchi wanamchora tu,
 
Hii staili ya Mama Tulia hakika imetulia! tunahitaji maendeleo na huduma sio nyimbo za Ana miaka kumi na nane!! hivi miaka yote Sugu kafanya nini zaidi ya kujenga hotel yake? Mbeya imeshapoteza mwelekeo kwa kuwa na mbunge mhuni tu na mropokaji anaengalia tumbo na hotel yake tu! ni aibu sana kwa watu wa Mbeya wenye heshma kubwa kuwa na mwakilishi muhuni mvuta bangi anazojisifia yeye mwenyewe katika wimbo uko chini hapo sikiliza mwenyewe!!

binafsi naamini mbinu za kibabe kuua upinzani zinavijenga zaidi vyama hivyo badala ya kuvibomoa, kila mtu nchini anasikia matukio hayo ya polisi kuwasumbua wapinzani na kuona wanaonewa na wananchi kuichukia serikali!
watu wa nje pia wanasikia na kuona video za matukio hayo na kuharibu taswira ya nchi na utoaji wao misaada na utalii, watalii wengi wa ulaya na marekani wanachukia nchi zenye ukandamizaji na pia matukio haya wapinzani wanayaandikia funding proposals na kupewa mabilioni kutoka nje kuja kuvuruga juhudi mfano hai ni tshirt alizogawa Zzk mji mzima Kilwa pesa hizo katoa wapi? wengine wamepewa tatu tatu manake hakukuwa na utaratibu wa kuandikishana upewe tshirt, nashauri Zzk aulizwe haraka na Takukuru alipotoa hizo pesa, hizo tshirt nk! Kwanini sirikali isimuweke ndani tu hadi uchaguzi upite manake kama ni mkarimu kwanini hakugawa tshirt miaka yote aje atoe leo?

hapa ujanja ni kuwaruhusu wapinzani wafanye kwa amani vikao vya ndani na hata kwenye majukwaa ya siasa wasibugudhiwe sheria ya vyama vingi inawapa uhuru huo!

1. cha kufanya ni kuhakikisha wagombea wa ubunge wa upinzani hatari kwa kijani wanakosa form za ubunge kwa kukosa vigezo au wanapewa masharti kila wakileta form zirudishwe wakarekebishe vipengele hadi muda wa kurudisha form upite mf Sugu, ZZK, DJ, Mnyaka, Mdeo, Buleyo, Mateka, Msugwa etc!
2. kesi za uchochezi ziwepo za kumwaga hata wagombea hatari wa upinzani wakose muda wa kampeni wawe wanashinda mahakamani, kesi zao zisiishe kosa moja wapewe kesi kumi na kila wiki wapewe tarehe kurudi mahakamani hadi uchaguzi upite na wengine wapewe kesi za kutakatisha pesa na uchochezi na uhaini na waambiwe sio raia!!
3.kutumia makada mitaani kuhamasisha watu kujiunga na kijani, tshirt na kofia na vitenge na vilemba vigaiwe kwa wingi hali ni ngumu wengine watumie nguo hizo kufanya mtoko! hii ni takrima muhimu! isipuuzwe wapinzani wameanza kuitumia na itawapaisha!
4. kuhakikisha miradi mingi ya maendeleo inakamilika kila mji au wilaya na kuondoa wakandarasi wazembe na kuwashitaki na kuwatupa jela maafisa wanaofisadi miradi
5. Wakurugenzi kutumia magoli ya mkono kama last resort kwa majimbo yote tunayojua wabunge wake ni waropokaji na mawakala wa mabeberu!
6. kuendelea kupiga vichwa vya nyoka kule Dom, wakikaa hosp au mahabusu nchi inatulia miradi inaenda kwa kasi
7. kuunda kamati ya ufundi na bajeti ya kutosha kuhakikisha wale wabunge hatari kumi hatari kwa kijani hawarudi bungeni mfano ni mhuni Sugu na bangi zake!

hakuna haja ya mabomu ya machozi siasa ni akili tu, si mchezo unaohitaji hasira, Bia Yetu uko wapi? ushaamka na kuzimua? nakuwakilisha!m
nani anasema nimeharibu uzi?

Avae na mavazi rasmi ya kujengea sio kimini na blauzi atakuja kuombwa aone watu wamemvunjia heshima.
 
H
Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa.

Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu ambaye mara mojamoja atakuwa anatoka bungeni kuja kufyatua mijengo ya wapiga kura wake hapo Mbeya.

Huyu ni fundi ujenzi, mruka joka na zaidi ni mganga mashuhuri anayepiga ramli za uhakika na zinazolenga golini moja kwa moja.
View attachment 1487559
Huyu mwanasheria mpambeni muezavyo ,afungue matawi awezavyo ila hapa Mbeya mjini kachemka kwa sugu ,angetafuta jimbo lingine tu hapa mjini hatoboi ,tatizo wapambe wake wa tulia trust kwa nini amumwambii ukweli sawa na majimbo kama Iringa ,mikumi,hai,arusha mjini,jumbo la heche ,kawe,jumbo la bulaya ,la ester,kibamba.wananchi wanajua fika hawa wabunge wametendea haki wananchi wao ni hayo tu
Kutoka kwa 4 7Mbatizaji
 
yani huyu doggy style hataweza mana tumbo limehamia kwa mugongo yake.
 
Uchaguzi wa mwaka huu wananchi wenyewe wana maamuzi sahihi kwakujua namba moja kawafanyia nini. Unaweza kuwa mtu safi tuu lakini ukakosa ridhaa kwa sababu uwezo, sera, uongozi, na msingi wa chama chako
Sugu aende akasaini msondo ngoma tu,ubunge kwa heri
Dada msomi anatosha
 
ni aibu sana kubakwa na mwanamke, sugu jikakamue usikubali kubakwa na kademu
 
Sugu aende akasaini msondo ngoma tu,ubunge kwa heri
Dada msomi anatosha
Huyu ni dokta msomi wa ujenzi?

Wajinga ndio waliwao. Huyu anakuwa mnyenyekevu wakati wa kuomba kura,akipata ubunge anakuwa na majibu ya kishujaa kama kawaida yao.
 
Sugu aende akasaini msondo ngoma tu,ubunge kwa heri
Dada msomi anatosha
Huwajui watu wa mkoa wa mbeya. Hawajawahi kuongozwa na mbunge wa kuchafuliwa wa jinsi ya ke. Na hili sio la kuhoji bali ni Imani yao ambayo kuibadili yataka muda! Anakwenda kuanguka kwa kuvunja mwiko, Mila na desturi za kabila lake!
 
Well said Mkuu
Ujumbe murua
Watanzania wengi wameelewa utumishi iliotukuka wa Rais Magufuli

Back
Top Bottom