Dkt. Tulia asikitishwa na kuumizwa sana na kifo cha kada wa CHADEMA. Asema anakichukia Kifo

Utadhalilika muda mfupi sana ujao, endelea kulamba nyayo za Wauaji na Wachawi wenzio
Acha kuchafua majina ya watu wewe. Hakuna mtu kutoka upinzani mwenye ubavu wala uwezo wala nguvu ya kuweza kushindana na Dkt Tulia katika jimbo la Mbeya Mjini.Dkt Tulia ndio mwenye hati miliki ya jimbo.
 
Huyo si ndiye sliyekataa kujadili swala la watu kutekwa na kuuawa siku ile mbunge aliyetoa hoja sasa iv ana sababu gani ya kusema hayo
 
nashindwa hata kuandika,yeye mzuri sana hawezi kufa
 
Ila wewe utakuwa wakala wa wachawi
 
nashindwa hata kuandika,yeye mzuri sana hawezi kufa
Bila shaka hujaelewa lugha ya kiingereza iliyotumika hapo na ndio maana umekurupuka kujibu.hata hivyo nime utafsiri ujumbe wake kwa lugha ya kiswahili ili kuwasaidia watu aina yako
 
Hana moral authority ya kusema huo upumbavu hapo juu maana aliuzuia huu mjadala pengine haya yasingetokea kama angeliuruhusu ule mjadala.
 
Kwanza siwezi kumchagua mtu mjinga na Mchawi kuwa Spika, na Wauaji hawana nafasi, labda kama hakuna Mungu

Muda utaongea na tutarudi hapa hapa jf kukumbushana
CHADEMA huwa mnadhani Mungu ni kada wa chama chenu... Mungu ni wa wote na hapangiwi. Acheni utoto.
 
Hana moral authority ya kusema huo upumbavu hapo juu maana aliuzuia huu mjadala pengine haya yasingetokea kama angeliuruhusu ule mjadala.
Bungeni kuna taratibu zake ya namna ya kuwasilisha jambo la dharura na namna jambo hilo linavyopswa kuwa ili kuweza kukubaliwa na kujadiliwa kwa kuahirisha shughuli zingine za bunge zilizokuwa katika ratiba.
 
Nitolee ujinga hapa
 
Bila shaka hujaelewa lugha ya kiingereza iliyotumika hapo na ndio maana umekurupuka kujibu.hata hivyo nime utafsiri ujumbe wake kwa lugha ya kiswahili ili kuwasaidia watu aina yako
Tatizo wewe unajitumikisha vibaya, si alikata kujadili hoja ya utekaji bungeni?anatafuta nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…