Dkt. Tulia asikitishwa na kuumizwa sana na kifo cha kada wa CHADEMA. Asema anakichukia Kifo

Acha kuchafua majina ya watu wewe. Hakuna mtu kutoka upinzani mwenye ubavu wala uwezo wala nguvu ya kuweza kushindana na Dkt Tulia katika jimbo la Mbeya Mjini.Dkt Tulia ndio mwenye hati miliki ya jimbo.
Ww endelea kupiga upambe wenzako wakiuawa ipo siku itafika kwako utaelewa somo vizur
 
Bungeni kuna taratibu zake ya namna ya kuwasilisha jambo la dharura na namna jambo hilo linavyopswa kuwa ili kuweza kukubaliwa na kujadiliwa kwa kuahirisha shughuli zingine za bunge zilizokuwa katika ratiba.
Na ww n kichwa maji tu yaani watu wanakufa unaona fahari kutowasaidia unataka ufanye nn
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni ujumbe wa speaker wetu wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini na ambaye pia ndiye Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu.

Naweka ujumbe wake kama ulivyo bila kuongeza neno wala nukta.

Lakini kwa msioelewa kiingereza vizuri ni kuwa amemaanisha ya kuwa anakichukia kifo yaani I hate Death. Lakini pia akasema kuwa kwa yeyote aliyeshiriki au kuhusika na kukatisha uhai au maisha yako atalipa gharama. Neno Partook ni sawa na neno involved yaani aliyeshiriki au kuhusika katika kifo hicho kwa hakika atalipa gharama au waweza sema atawajibika yaani vyovyote vile unavyoweza kusema,ndio maana ya maneno Surely should pay Dearly.
View attachment 3091984

Pia Soma
- Spika wa Bunge la Tanzania kwa heshima yake alitakiwa ajiuzulu, analidhalilisha bunge

- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Nilikuambia wewe ni kiazi mviringo na hautoboi na uchawa. Nimeona matokeo yako ya form 4 una division 4 , nenda kasome , uchawa sio kazi Rasmi, bado unaendeleza uchawa wa kukimbia elimu

Nakushauri nenda shule hii kazi hutoboi , ipo siku watakuteka na wewe na hakuna atakae sikitika

Lucas Nenda shule, kapige hata paper za QT , kichwa chako kimejaa utoko
Hautoboi
 
Daah!..kazi imeanza tena
 
Mnasikitika nini sasa, na wakati hicho kikosi cha wauaji mnakimiliki nyinyi wenyewe! Unafiki siyo poa hata kidogo.

Si ndiyo huyu huyu aliyekataa hoja ya matukio ya utekaji isijadiliwe bungeni!
download (7).jpeg

ccm wajue tu kuwa kikosi kazi kilichojuu ya Sheria kikimalizana wa nje kitarejea ndani hadi vyumbani!
 
Amesikitishwa baada ya mwenyekiti wake kusikitika?!!
Manafiki sana huyu bibi. Sijui hata imekuwa je akawa kiongozi mkubwa mtu empty anayeenda na matukio kulinda status yake.

Hafai hata kidogo. Sad for our country.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni ujumbe wa speaker wetu wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini na ambaye pia ndiye Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu.

Naweka ujumbe wake kama ulivyo bila kuongeza neno wala nukta.

Lakini kwa msioelewa kiingereza vizuri ni kuwa amemaanisha ya kuwa anakichukia kifo yaani I hate Death. Lakini pia akasema kuwa kwa yeyote aliyeshiriki au kuhusika na kukatisha uhai au maisha yako atalipa gharama. Neno Partook ni sawa na neno involved yaani aliyeshiriki au kuhusika katika kifo hicho kwa hakika atalipa gharama au waweza sema atawajibika yaani vyovyote vile unavyoweza kusema,ndio maana ya maneno Surely should pay Dearly.
View attachment 3091984

Pia Soma
- Spika wa Bunge la Tanzania kwa heshima yake alitakiwa ajiuzulu, analidhalilisha bunge

- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Eti amesikitishwa na unatuma huu ujumbe kabisa 😂😂 huyu mama amekuwa na history mbaya sana kwa kushindwa kuisimamia serikali akiwa kama mkuu wa moja ya mhimili mkuu wa serikali unaosimamia check and balance ya utendaji wa serikali kuu.

Just few days have passed when she refused to allow the parliamemt to diacuss the motion on matters of nationwide abdication especially for anti government protesters and members of opposition parties. Leo anakuja na hii kejeli.

Heri angekaa kimya. BTW naomba kujua kama ana wstoto. Please mwenye kufahamu maana anaonekana ana moyo mgumu sana.
 
Manafiki sana huyu bibi. Sijui hata imekuwa je akawa kiongozi mkubwa mtu empty anayeenda na matukio kulinda status yake.

Hafai hata kidogo. Sad for our country.
Magufuli alituletea watu wa ajabu sana huyu aliopolewa tu chuoni akawa AG akapandapanda fasta tu ghafla akakutana na kismati cha uspika sasa haya ndio madhara yake.
 
Uwezo wake ndio unaombeba
Kusoma mfululizo mpaka PhD haikupi uwezo kiasi hicho wa kufanya kazi. We know her japo siwezi kusema hajui alichosomea lakini uongozi sio PhD ndio maana anachemka pale anapohitajika kuchanganya elimu yake na uzoefu kwenye kutoa maamuzi yanayohitaji hekima ya kiti cha spika. Angalia akina Marehemu Sitta.
 
Attachments

  • 20240909_233104.jpg
    20240909_233104.jpg
    69.3 KB · Views: 1
Ni mnafiki!
Kama alikataa Bungeni hoja ya kujadili Utekwaji na Upoteaji wa watu kwa lengo la kuilinda serikali anatuambiaje eti amechukizwa na mauaji ya Ally Kibao?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ni ujumbe wa speaker wetu wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini na ambaye pia ndiye Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu.

Naweka ujumbe wake kama ulivyo bila kuongeza neno wala nukta.

Lakini kwa msioelewa kiingereza vizuri ni kuwa amemaanisha ya kuwa anakichukia kifo yaani I hate Death. Lakini pia akasema kuwa kwa yeyote aliyeshiriki au kuhusika na kukatisha uhai au maisha yako atalipa gharama. Neno Partook ni sawa na neno involved yaani aliyeshiriki au kuhusika katika kifo hicho kwa hakika atalipa gharama au waweza sema atawajibika yaani vyovyote vile unavyoweza kusema,ndio maana ya maneno Surely should pay Dearly.
View attachment 3091984

Pia Soma
- Spika wa Bunge la Tanzania kwa heshima yake alitakiwa ajiuzulu, analidhalilisha bunge

- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Sema huyu nae atulie...
Ngoja niishie hapa..😷😷😷
 
Ni mnafiki!
Kama alikataa Bungeni hoja ya kujadili Utekwaji na Upoteaji wa watu kwa lengo la kuilinda serikali anatuambiaje eti amechukizwa na mauaji ya Ally Kibao?
Guilty Conscience..inamtafuna.
 
Kwani wewe ndio ulimchagua u speaker? Kama Dunia nzima imemkubali mpaka kumpa urais wa IPU wewe ni nani mpaka uzuie ushindi wake?
We mwehu acha uchokozi, watu wanahasira kwani mauaji si siasa ya kudhani aliyeuawa atarudi, hautakiwi huku kwa sasa ila wewe mbwakoko umeng'ang'ania tu!
 
Back
Top Bottom