Dkt. Tulia asikitishwa na kuumizwa sana na kifo cha kada wa CHADEMA. Asema anakichukia Kifo


Si alisema nyooka naye pia akazuia mjadala wa watekaji na wauaji bungeni leo hii anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Bora akae kimya na kuchekelea moyoni mwake.
 
Wanafique wakubwa
 
Embu acha kuleta utoto wako hapa katika mambo yanayogusa hisia za watu.
Mimi na wewe nani analeta uhayawani.

Huyo mtu unayemfanyia uchawa alikataa hoja ya mbunge kujadili haya matukio ya utekaji na uuaji. Anachosikitika ni kitu gani?

Kwa taarifa yako, hiyo account ya x uliyoiquote siyo ya Tulia. Unajua kuwa yeye ni verified user.


Wewe ni miongoni mwa wanaofurahia mauaji haya
 
Mnafiq mkubwa huyo njiti ana ushetani mwingi sana
 
Nachukia unafiki;
 
Unapokuwa na Mamlaka ya kuweza kukemea damu kama hii isimwagike na unajitoa hofu ya Mungu, inapotokea tatizo Kama hili Utaulizwa ulifanya Nini Kwa kutumia nafasi Yako!? Lazima roho itauma, ndio kusema Majuto ni Mjukuu na damu Huwa inatafuta wa kumlilia!! Kumbuka ya Kaini (machozi yananitoka)
 
Huyu spika kichaa anasikitika Nini sasa.alisema bungeni haya mambo ya kutekwa hayapo Sasa anajifanya kuuumia Nini?
 
Mbona alikataa utekaji kujadiliwa Bungeni. Uzuri Mungu anawaona kila mmoja ukweli wake kwa anayosema.
 
Nipo sirias
Narudia tena wewe kijana go to school . Una division four matokeo ya form 4 , you are a failure, kazi ya uchawa sio Rasmi. Kafanye mitihani ya QT , hutotoboa na div 4

Kichwa chako kimejaa UTOKO na takataka nyingi
Stop that and go to school
Huwezi hata kuandika neno serious , unategemea uteuzi we kiazi utatumika tu . One condom could have saved huu ujinga unaosambaza social media
 
jins alivopgwa spana huko jnstagram ataelewa kuwa watz wamechoka na wako tyr kwa lolote hatuna cha kupoteza tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…