Dkt. Tulia asikitishwa na kuumizwa sana na kifo cha kada wa CHADEMA. Asema anakichukia Kifo

Huyo ni spika mnafikuna. Uzuri hata wananchi wameona unafiki wake na majizi menzake.
 

Uhuni tu huo.

Mbona alikataa mjadala Bungeni...!!?
 
Hivi Jamiiforums kwanini msimfute huyu nguruwe pori!
 
 
Tulia mnafiki mkubwa.
Kuna mbunge alipeleka hoja kulitaka Bunge lijadili vitendo vya utekaji na mauaji, yeye kwa lugha ya kejeli kabisa, akasema hakuna utekeaji wala mauaji, ni hisia tu. Halafu eti aseme anaumizwa na kifo cha Ali Kibao? Labda yupo sahihi aliposema anaogopa kifo, akimaanisha kifo cha kwake mwenyewe lakini siyo vifo vya watu wengine.

Angekuwa ni mtu anayethamini maisha ya watu wengine asingezuia mjadala uliolenga kuongelea ushetani uliokuwa unaendelea.
 
Amesikitishwa baada ya mwenyekiti wake kusikitika?!!
Huyu spika ni mnafiki mkubwa. Angenyamaza tu, uovu wake na roho yake mbaya vinajulikana.

Na Rais asingetuma ujumbe kuwa amesikitishwa na hicho kifo, na yeye angekaa kimya.
 
Wakitukanwa wanasema tunawachukia.

Haka si kalikataa kujadili mambo ya utekaji Bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…