Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

Ni hakika kabisa,SEMA tu ni muhimu kubadili altitudes na focus ya namna ya kusaidia wananchi maskini ili umuhimu uliosema uwe wa vitendo.
Kila mtu ni hazina muhimu katika familia yake na Taifa kwa ujumla, haijalishi ni Kiongozi au mwananchi wa kawaida.
Muhimu jamii ikajielekeza kutengeneza kizazi kijacho kisichotegemea kusukumwa na Viongozi kujiletea maendeleo.
 
mnachelewaga wap na fikra tulivu na mbadala kama hizi ndrugu zango πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Sahivi mnatakiwa kuvaa uniform mpk uchaguzi upite 2025, Lucas yupo kwa fundi anasimamia uniform zenu
uniform ndio nini na zina umuhimu gani?

nadhani fikra, mawazo, maoni, mtazamo huu mpya ni jambo muhimu na la maana zaidi kwa uelekeo na mustakabali wa ustawi wa Taifa letu la Kidemokrasia πŸ’
 
mnachelewaga wap na fikra tulivu na mbadala kama hizi ndrugu zango πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ’ͺ
Mkuu fikra sahihi na makini uja wakati sahihi,muhimu ni kuzingatia na kupanga mipango endelevu ya kukuza uchumi kuanzia kwenye familia zetu na Taifa ujumla.
Mkuu, kupanga ni kuchagua,Tanzania ijayo itakuwa yenye neema kubwa sana,iwapo tu tutaamua kutenda kwa vitendo.
 
uniform ndio nini na zina umuhimu gani?

nadhani fikra, mawazo, maoni, mtazamo huu mpya ni jambo muhimu na la maana zaidi kwa uelekeo na mustakabali wa ustawi wa Taifa letu la Kidemokrasia πŸ’
Hayo ni maelekezo kwa UWT wote
 
Kwa nini mkuu unajitoa kwamba sio hazina kwa taifa hili? mkuu unaniangusha ,anza na wewe mwenyewe sema naweza naweza kweli kulivusha taifa hili
 
Kwa nini mkuu unajitoa kwamba sio hazina kwa taifa hili? mkuu unaniangusha ,anza na wewe mwenyewe sema naweza naweza kweli kulivusha taifa hili
Gentleman,
mimi japo sistahili ila ni zaidi ya hazina ya Taifa,
kwa mfano ukimuona mkuu wa nchi yupo kusini, na Makamu wake yupo kaskazini jua ya kwamba mimi Tlaatlaah nipo katikati yao na nchi ina Amani tele πŸ’
 
halafu kwenye jukwaa la mathink tank sikuonagi kabisa aise πŸ’

naona maono ya kipekee ndani yako
 
nadhani orodha yangu imesheheni RAIS mwenye sifa zote 24 zilizoainishwa na muungwana kwenye linki uliyonijaalia πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…