Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Hiyo imeenda mzee usitegemee positive response toka kwa bunge dhidi ya mauchafu toka kweny report ya CAG!!Ripoti ya CAG ilijaa madudu mengi na mpaka Mhe. Rais alichukia sana na kuahidi kuwa wale wote waliokutwa na ubadhirifu watachukuliwa hatua kali. Bunge letu pia iliahidi kuwa katika kikao cha Bunge cha mwezi Septemba ripoti hii itawekwa hadharani na wale wote watakokutwa na ubadhirifu watachukuliwa hatua. Mbona mpaka sasa mambo ni kimya au ndo wamesamehewa?. Nchi hii ..... iko kazi.