Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Utajufunza tu kuandika kwa ufasaha safari hii.Umetambua elimu Bure baada ya kuvuta mkwanja wa ruzuku. Huna lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajufunza tu kuandika kwa ufasaha safari hii.Umetambua elimu Bure baada ya kuvuta mkwanja wa ruzuku. Huna lolote
Ruzuku umeshiba, Hadi unakosoa mwaaaandikoooo.Utajufunza tu kuandika kwa ufasaha safari hii.
Hatujawahi kuwa na spika kiazi kama Tulia AcksonHatimaye September imefika ile ahadi ya bunge kujadili ufisadi na kuwawajibisha mafisadi walioibuliwa na CAG muda wa utekelezahi wake umefika!
Walioiba matirioni ya watanzania tuwaone wakiwajibishwa na bunge kisha kifunguliwa mashtaka mahakamani!
Je, mwana JF unaamini bunge hili la mafisadi na wezi litayawajibisha majizi?
2lia huyu anaweza kuongoza mjadala wa kuwawajibisha Majizi akiwemo mume wake?
WACHA TUONE.
Sahau maisha yako yote, hakuna mtumishi wa umma anaweza kuiba bila kuhusisha vigogo, yaani dokezo la mabilioni litoke Halmashauri liende hazina ndogo kisha BoT then bank bila serikalini kujua? hiyo sahauHatimaye September imefika ile ahadi ya bunge kujadili ufisadi na kuwawajibisha mafisadi walioibuliwa na CAG muda wa utekelezahi wake umefika!
Walioiba matirioni ya watanzania tuwaone wakiwajibishwa na bunge kisha kifunguliwa mashtaka mahakamani!
Je, mwana JF unaamini bunge hili la mafisadi na wezi litayawajibisha majizi?
2lia huyu anaweza kuongoza mjadala wa kuwawajibisha Majizi akiwemo mume wake?
WACHA TUONE.
Huyu ajuza hafai kabisa aseeYaani ni kama katumwa na serikali kwenda kuzima hoja zote zinazohusu skendo za viongozi wa serikali bungeni. Huwa anaendesha hovyo hovyo mijadala bungeni, mbunge akisimama na hoja ya kuikosoa serikali anajifanya kumwelekeza namna ya kuongea ikiwa ni pamoja na kumuuliza maswali ya kipuuzi!! Kazi ya spika ni kusimamia mijadala na wala siyo kuwapangia wabunge nini cha kuongea na nini cha kutokuongea.
Yaani hivi vyeo vya kurithi hivi kwa kweli Watanzania awamu hii tumepatikana!!
TjubutuuuuHatimaye September imefika ile ahadi ya bunge kujadili ufisadi na kuwawajibisha mafisadi walioibuliwa na CAG muda wa utekelezahi wake umefika!
Walioiba matirioni ya watanzania tuwaone wakiwajibishwa na bunge kisha kifunguliwa mashtaka mahakamani!
Je, mwana JF unaamini bunge hili la mafisadi na wezi litayawajibisha majizi?
2lia huyu anaweza kuongoza mjadala wa kuwawajibisha Majizi akiwemo mume wake?
WACHA TUONE.
Huyu Bi. Cheusi ni shidaHuyu ajuza hafai kabisa asee
Amewekwa hapoHuyu Bi. Cheusi ni shida
Watanyooshewa vidole wasaidizi wa wakurugenzi tu labda mkubwa mmojawapo awe hakunyoosha mkono wake kwenda kwa mkubwa mwenzie kugawana hizo bajiaHatimaye September imefika ile ahadi ya bunge kujadili ufisadi na kuwawajibisha mafisadi walioibuliwa na CAG muda wa utekelezahi wake umefika!
Walioiba matirioni ya watanzania tuwaone wakiwajibishwa na bunge kisha kifunguliwa mashtaka mahakamani!
Je, mwana JF unaamini bunge hili la mafisadi na wezi litayawajibisha majizi?
2lia huyu anaweza kuongoza mjadala wa kuwawajibisha Majizi akiwemo mume wake?
WACHA TUONE.
Kamwe, haitatokea wezi na mafisadi kuwajibishwa na serikali ya CCM!! Anaepinga hili aje na majibu ya msingi!!! Zaid utasikia... Mkurugenz kakamatwa kwa upotevu wa milion moja na nusu lkn huez sikia kiongoz kakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa upotev wa bilion 10+. Na aliesababisha upotev utasikia katolewa hapa kahamishiwa kule 🤣🤣🤣🤣Hatimaye September imefika ile ahadi ya bunge kujadili ufisadi na kuwawajibisha mafisadi walioibuliwa na CAG muda wa utekelezahi wake umefika!
Walioiba matirioni ya watanzania tuwaone wakiwajibishwa na bunge kisha kifunguliwa mashtaka mahakamani!
Je, mwana JF unaamini bunge hili la mafisadi na wezi litayawajibisha majizi?
2lia huyu anaweza kuongoza mjadala wa kuwawajibisha Majizi akiwemo mume wake?
WACHA TUONE.
Ilishaisha hiyo.. Kuwaamini wanasiasa wa ccm kunahitaji wendawazimu above next levelRipoti ya CAG ilijaa madudu mengi na mpaka Mhe. Rais alichukia sana na kuahidi kuwa wale wote waliokutwa na ubadhirifu watachukuliwa hatua kali. Bunge letu pia iliahidi kuwa katika kikao cha Bunge cha mwezi Septemba ripoti hii itawekwa hadharani na wale wote watakokutwa na ubadhirifu watachukuliwa hatua. Mbona mpaka sasa mambo ni kimya au ndo wamesamehewa?. Nchi hii ..... iko kazi.
Speaker wa bunge anaendeshwa na mafisadi.Ripoti ya CAG ilijaa madudu mengi na mpaka Mhe. Rais alichukia sana na kuahidi kuwa wale wote waliokutwa na ubadhirifu watachukuliwa hatua kali. Bunge letu pia iliahidi kuwa katika kikao cha Bunge cha mwezi Septemba ripoti hii itawekwa hadharani na wale wote watakokutwa na ubadhirifu watachukuliwa hatua. Mbona mpaka sasa mambo ni kimya au ndo wamesamehewa?. Nchi hii ..... iko kazi.