Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kumbe umekubali niwajibu wao wakupitishie bajeti ya ruzuku ya chama chako ili upate fedha za kununulia bando la kuwatukana hapa mitandaoni.
Kwa taarifa yako wanapitisha kama wajibu wa bunge kisheria na kufuata formalities tu, lakini hawastahili kufanya kazi hiyo. Hayo ni majizi ya kura yaliyo bungeni bila ridhaa ya umma. Hata hilo bunge kibogoyo lisipokuwepo kila kitu kitaenda sawa.