Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Uzuri na yeye Tulia ameeanza kuzeeka na upumbavu wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kuelimisha nashangaa kwa nini hawaendi na huo mkataba wakachambua kifungu kwa kifungu!Dr. Slaa naona ndio mlengwa wa hoja ya kuzeeka hapa, ila bado hajajjibu hoja hata moja ya wazalendo wanaoupinga huu mkataba.
Hilo ni swali ambalo hata mimi nimejiuliza.Kama ni kuelimisha nashangaa kwa nini hawaendi na huo mkataba wakachambua kifungu kwa kifungu!
Inathibitisha kabisa kuwa wanawalaghai wananchi.Hilo ni swali ambalo hata mimi nimejiuliza.
Upo....
DP WORLD hawatojihusisha na mafuta....
DP WORLD hawatojihusisha na USALAMA babdarini....
DP WORLD hawatafukuza wafanyakazi waliowakuta na hawatoajiri wageni.....
Mbeya ni moto unawaka, stay tuned. Si ndio kesi ilipofunguliwa kuhusu mkataba wa Dpw. Huyu 2025 harudi, na hata wakimbeba safari meza zitapinduka.huyu anatakiwa aje aadhibiwe na wanambeya 2025.
slaa tayari weekaaa..!Vita ni vita sasa, tukar mguu sawa.
Mdada yupo wapi hapo?! Bibi huyo lakini mpumbavuVidada vilivyosoma KLF bwana.Taabu tu.
BUTIKU sio Dr slaaDr. Slaa naona ndio mlengwa wa hoja ya kuzeeka hapa, ila bado hajajjibu hoja hata moja ya wazalendo wanaoupinga huu mkataba.
we maza kaa kimya, watanganyika wote tunajua hata robo ya kura za ubunge wako hukupata, mshukuru sana marehemu.SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.