Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇

RT.JPG
 
Kwani quality ya filamu huwezi kujua mpaka ushike kamera? Mbona hata tulipokuwa wadogo kuna movie tulikuwa tunaziponda namna zilivyoandaliwa.
Kuna ubora wa picha wa kipaimara,kitchen party,x,mpira/michezo na Kuna ubora wa filamu,na filamu zenyewe zimegawanyika,Kuna namna ya kupiga picha drama,action-drama na action,hizi sharti ziwe cinematic
 
Back
Top Bottom